RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MSIMAMO Ligi Kuu ya Wanawake 2024/2025

Filed in Michezo by on 01/06/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MSIMAMO Ligi Kuu ya Wanawake 2024/2025

MSIMAMO Ligi Kuu ya Wanawake 2024/2025, Msimamo Tanzania Women’s Premier League 2024/25, Tanzania Women’s Premier League 2024/2025, Msimamo Ligi ya Wanawake 2024/2025, Msimamo Tanzania Women's Premier League 2024-2025,TWPL Standing 2024/2025.

MSIMAMO Ligi Kuu ya Wanawake 2024/2025

MSIMAMO Ligi Kuu ya Wanawake 2024/2025, Msimamo Tanzania Women’s Premier League 2024/25, Tanzania Women’s Premier League 2024/2025, Msimamo Ligi ya Wanawake 2024/2025, Msimamo Tanzania Women’s Premier League 2024-2025,TWPL Standing 2024/2025.

Ligi Kuu ya Wanawake ya Tanzania, Maarufu Tanzania Women’s Premier League (TWPL), ni ligi kuu ya soka ya wanawake nchini Tanzania.

Katika Makala hii Nijuze Habari tutakuwa tukitoa taarifa za hivi punde kuhusu Msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake ya Tanzania 2024/2025 (Msimamo Tanzania Women’s Premier League 2024/2025)

MSIMAMO Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Women’s Premier League 2024/2025)

Mashindano haya yanasimamiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Ligi hiyo ya wanawake ya Tanzania Bara ilichezwa Kwa mara ya Kwanza msimu wa 2016-17.

Mshindi wa wa kwanza kubeba Ubingwa wa Ligi hiyo alikuwa Mlandizi Queens.

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ambalo awali lilikuwa Chama cha Soka Tanzania, ndicho chombo kinachosimamia soka nchini Tanzania.

Wakati soka la wanawake likiendelea kupewa kipaumbele nchini Tanzania, vilabu mbalimbali kwa sasa vimeanza kuwekeza kwenye timu za wanawake, ambazo baadhi zimeanza na mambo makubwa, kama vile Simba Queen, ambayo iliweza kufuzu ligi ya mabingwa wa Afrika CAF.

Ili kuhakikisha maendeleo ya soka la wanawake, TFF imeanzisha Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania inayoshirikisha vilabu kutoka maeneo mbalimbali nchini Tanzania.

Hakika Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2024/2025 itakuwa ni miongoni mwa ligi za wanawake zenye ushindani mkubwa Afrika Mashariki, hii inatokana na uwekezaji unaofanywa hivi karibuni na vilabu mbalimbali vya Tanzania na pia uwepo wa wachezaji wanawake wenye vipaji

TFF Inasimamia uendeshaji wa mfumo wa ligi ya soka ya Tanzania, timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania (Twiga Stars)

Ilianzishwa mwaka 1945 na imekuwa ikishirikiana na FIFA tangu 1964.Wallace Karia ndiye Rais wa sasa wa Shirikisho la Soka Tanzania kuanzia 2017.

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , ,

Comments are closed.