RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MUONGOZO wa Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo kwa Mfumo wa Kidijitali ERITA

Filed in Ajira, Makala, Michezo by on 15/07/2024

MUONGOZO wa Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo kwa Mfumo wa Kidijitali ERITA

MUONGOZO wa Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo kwa Mfumo wa Kidijitali ERITA, MUONGOZO WA UHAKIKI WA VYETI VYA KUZALIWA NA VIFO KWA MFUMO WA KIDIJITALI KUPITIA ERITA.

MUONGOZO wa Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo kwa Mfumo wa Kidijitali ERITA

MUONGOZO wa Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo kwa Mfumo wa Kidijitali ERITA, MUONGOZO WA UHAKIKI WA VYETI VYA KUZALIWA NA VIFO KWA MFUMO WA KIDIJITALI KUPITIA ERITA.

Waombaji wote wanatakiwa kufuata muongozo ufuatao;

  • Ingia kwenye tovuti ya Wakala www.rita.go.tz
  • Bonyeza kitufe kilichoandikwa eRITA
  • Chagua Huduma ya Vizazi na Vifo;
  • Bonyeza REGISTER katika kipengele cha REGISTRATION na jaza taarifa zote kwa usahihi kufungua akaunti ya maombi;
  • (Muhimu: Nenosiri (Password) liwe na herufi zaidi ya nane ikiwa na herufi kubwa, ndogo, namba na alama yoyote mfano (@\#*&) 05.
  • Ingia katika akaunti ya barua pepe “email” fungua ujumbe uliotumiwa kutoka RITA kisha bonyeza neno “Account activation”
  • Baada ya kufungua akaunti, Bonyeza SIGN IN na jaza taarifa sahihi ili kuingia katika mfumo;
  • Chagua BIRTH SERVICES kwa huduma ya Kizazi (DEATH SERVICES) kwa huduma ya kifo);
  • Chagua REQUEST VERIFICATION na jaza taarifa zote kwa usahihi;
  • Chagua VERIFICATION REASON ambapo uchague TAASISI inayohitaji uhakiki mfano: LOANS BOARD, NHIF N.K
  • Ambatanisha Cheti cha Kuzaliwa/kifo kinachohakikiwa;
  • Omba namba ya Malipo kwa kubonyeza “REQUEST CONTROL NUMBER”
  • Fanya malipo sahihi kulingana na Ankara uliyopewa;

Kumbuka: Majibu ya Uhakiki yatatumwa kupitia akaunti uliyofungua.

Muhimu:
– Tunza nywila/ nenosiri la akaunti uliyofungua
– Ambatanisha Kivuli (copy) katika mfumo wa PDF ambacho taarifa zote ikiwa pamoja na namba ya ingizo (entry number) zinasomeka vizuri.

Tags: ,

Comments are closed.