RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

NAFASI 135 za Wakusanya Ushuru na Usafi Jiji la Dar Es Salaam June 2024

Filed in Ajira by on 13/06/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI 135 za Wakusanya Ushuru na Usafi Jiji la Dar Es Salaam June 2024

NAFASI 135 za Wakusanya Ushuru na Usafi Jiji la Dar Es Salaam June 2024, Nafasi 135 za Wakusanya Ushuru na Wasafanya Usafi Jiji la Dar Es Salaam June 2024, Nafasi 95 za Wakusanya Ushuru Jiji la Dar Es Salaam June 2024, Nafasi 40 za Wafanya Usafi Jiji la Dar Es Salaam June 2024.

Mkurugezi wa Jiji la Dar es Salaam anawatangazia Watanzania wote wenye sifa nafasi ya kazi ya kukusanya ushuru wa Soko.

WAKUSANYA USHURU WA SOKO
(NAFASI – 50)

SIFA ZINAZOHITAJIKA

  • Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne
  • Awe na elimu ya Cheti/ Stashahada ya Uhasibu au Uongozi wa Biashara kutoka Chuo/Taasisi yoyote inayotambuliwa na Serikali.

KAZI/MAJUKUMU

  • Kukusanya ushuru wa Soko
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake.

MASHARTI KWA UJUMLA:

  • Mwombaji lazima awe Raia wa Tanzania.
  • Awe amehitimu na kupata cheti cha kidato cha Nne NB:”Results Slip” hazitakubadilika.
  • Awe na cheti cha kuzaliwa.
  • Awe na umri kati ya miaka 18-45.

Ajira hizi ni za mkataba wa miezi sita [6].

Mwajiri atalipa mshahara wa Tsh.7,000 kwa siku yenye kuleta jumla ya 210,000/= kwa mwezi.

Barua zote ziambatane na nyaraka zifuatazo:

Nakala za vyeti vya mwombaji vilivyothibitishwa ambayo ni:

  • Cheti cha kidato cha nne
  • Cheti cha Taaluma
  • Cheti cha Kuzaliwa.
  • Kitambulisho cha Taifa
  • Picha ndogo ya rangi (colored Passport size moja ya hivi karibuni).

Waombaji wenye sifa pungufu au zaidi na zilizotajwa hapo juu hawaruhusiwi kuomba kwani maombi yao hayatafanyiwa kazi.

Barua ambazo hazikuambatanishwa na nyaraka zilizotajwa hapo juu hazitashughulikiwa.

JINSI YA KUTUMA MAOMBI:
Barua zote za maombi ziandikwe kwa mkono zikiwa na anwani kamili ya mwombaji pamoja na namba ya simu zitumwe kwa anuani ifuatayo hapa chini;
MKURUGENZI WA JIJI
HALMASHAURI YA JIJI S.L.P. 20950
DAR ES SALAAM.

Mwisho kupokea maombi ni tarehe 14/06/2024 saa 9.30 Mchana

NAFASI 135 za Wakusanya Ushuru na Usafi Jiji la Dar Es Salaam June 2024

Mkurugezi wa Jiji la Dar es Salaam anawatangazia Watanzania wote wenye sifa kuomba kazi kwa nafasi zifuatazo:-

WAKUSANYA USHURU NAFASI (45)

SIFA ZA KUAJIRIWA.

  • Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne
  • Awe na elimu ya Cheti/ Stashahada ya Uhasibu au Uongozi wa Biashara kutoka Chuo/Taasisi yoyote inayotambuliwa na Serikali.

KAZI/MAJUKUMU

  • Kukusanya ushuru wa Soko la Samaki Feri.
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake.

WAFANYA USAFI NAFASI (40)

SIFA ZA KUAJIRIWA.
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne

KAZI/MAJUKUMU.

  • Kufanya usafi katika Soko la Samaki Feri
  • Kufanya shughuli nyingine atakazopangiwa na kiongozi
    wake.

MASHARTI KWA UJUMLA:

  • Mwombaji lazima awe Raia wa Tanzania.
  • Awe amehitimu na kupata cheti cha kidato cha Nne NB:”Results Slip” hazitakubadilika.
  • Awe na cheti cha kuzaliwa.
  • Awe na umri kati ya miaka 18-45.
  • Watumishi waliopunguzwa kazi/ kufukuzwa kazi /Kuachishwa kazi kwa sababu ya kughushi vyeti serikalini hawaruhusiwi kuomba.

Ajira ni ya mkataba wa miezi mitatu [3].

Mwajiri atalipa mshahara wa Tshs. 10,000/= [Shilingi elfu kumi tu] kwa siku yenye kuleta jumla ya 300,000/= [Shilingi laki tatu tu] kwa mwezi.

Barua zote ziambatane na nyaraka zifuatazo:

Nakala za vyeti vya mwombaji vilivyothibitishwa ambayo ni:

  • Cheti cha kidato cha nne
  • Cheti cha Taaluma
  • Cheti cha Kuzaliwa.
  • Kitambulisho cha Taifa
  • Picha ndogo za rangi (Passport size mbili (2) za mwombaji za hivi karibuni).
  • Waombaji wenye sifa pungufu au zaidi na zilizotajwa hapo juu hawaruhusiwi kuomba kwani maombi yao hayatafanyiwa kazi.
  • Barua ambazo hazikuambatanishwa na nyaraka zilizotajwa hapo juu hazitashughulikiwa.

JINSI YA KUTUMA MAOMBI:
Barua zote za maombi ziandikwe kwa mkono zikiwa na anwani kamili ya mwombaji pamoja na namba ya simu zitumwe kwa anuani ifuatayo hapa chini au ziwasilishwe moja kwa moja Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji Dar es Salaam au Ofisi ya Mkuu wa Soko la Samaki Feri Magogoni.

NB: Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 19 Juni, 2024

Barua zote za maombi zitumwe kwa anuani ifuatayo:-
Mkurugenzi wa Jiji
1 Mtaa wa Mission
S.L.P. 20950
Halmashauri ya Jiji
11883-DAR ES SALAAM

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.