RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI 63 za Msanifu Majengo MDAs & LGAs August 2024

Filed in Ajira by on 03/08/2024

NAFASI 63 za Msanifu Majengo MDAs & LGAs August 2024

NAFASI 63 za Msanifu Majengo MDAs & LGAs August 2024,MDAs & LGAs Jobs Vacancies August 2024, ARCHITECT II) - 63 POST at MDAs & LGAs August 2024, 63 Job Vacancies at MDAs & LGAs Tanzania August 2024.

NAFASI 63 za Msanifu Majengo MDAs & LGAs August 2024

NAFASI 63 za Msanifu Majengo MDAs & LGAs August 2024,MDAs & LGAs Jobs Vacancies August 2024, ARCHITECT II) – 63 POST at MDAs & LGAs August 2024, 63 Job Vacancies at MDAs & LGAs Tanzania August 2024.

POST MSANIFU MAJENGO DARAJA LA II (ARCHITECT II) – 63 POST
EMPLOYER MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE: 2024-08-03 2024-08-16

KAZI NA MAJUKUMU YA MSANIFU MAJENGO DARAJA LA II

  • Kufanya kazi chini ya uangalizi wa Msanifu majengo aliyesajiliwa na Bodi ya Usajili husika kama “professional architect” ili kupata uzoefu unaotakiwa.
  • Kufanya kazi kwa vitendo katika fani zinazomhusu ili kumwezesha kupata sifa za kutosha kusajiliwa na Bodi ya Usajili inayowahusu wasanifu majengo;
  • Kufuatilia upatikanaji wa taarifa na taaluma za usanifu wa majengo;
  • Kupitia mapendekezo ya miradi (project proposals) mbalimbali majengo yanayowasilishwa wizarani; na
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake

SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa mwenye Shahada/Stashahada ya Juu katika mojawapo ya fani zifuatazo; Architecture, Building Design, Architectural and Building Technology, Landscape Architecture, Technology in Architecture, Naval Architecture, Architectural Engineering, Furniture Architecture, Coservation Architecture, Interior Design au sifa nyingne zinazolingana na hizo ktuka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali. Awe amesajiliwa kama ‘Graduate Architect’ na Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakaridiaji Majenzi (AQRB).

NGAZI YA MSHAHARA:Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS.E

MASHARTI YA JUMLA.

  • Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania wenye umri usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa wale tu walioko kazini serikalini.
  • Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutuma maombi na wanapaswa kuainisha kwenye mfumo wa kuombea ajira ulemavu walionao kwa ajili ya taarifa kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.
  • Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa kilichothibitishwa na
    Mwanasheria/Wakili.
  • Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia
    katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa Waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
  • Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
  • Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya kuzaliwa, kidato
    cha Nne, kidato cha Sita kwa wale waliofikia kiwango hicho, vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali na vyeti vya kitaaluma kulingana na sifa husika kama
    ifuatavyo;.
    Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
    Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI Computer Certificate
    Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards)
    Cheti cha kuzaliwa
  • “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
  • Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
  • Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
  • Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyopo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.
  • Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.

Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 16 Agosti, 2024.

MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
KATIBU,
OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA,
S. L. P. 2320, DODOMA.
xiii. Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo; http://portal.ajira.go.tz/.= (Anuani hii pia inapatikana
kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’)

Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo
hili HAYATAFIKIRIWA.

DOWNLOAD PDF DOCUMENT HAPA

Tags: , , ,

Comments are closed.