NAFASI za Kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA 2024/2025
NAFASI za Kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA 2024/2025
NAFASI za Kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA 2024/2025, NAFASI za Kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi Kwa Kozi za Muda Mrefu Katika Vyuo Vya VETA, Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inakaribisha maombi ya kujiunga na Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kwa mwaka wa masomo 2025 kwenye vyuo vinavyomilikiwa na VETA.
KIPINDI CHA UCHUKUAJI NA URUDISHAJI FOMU
Fomu zitatolewa kuanzia leo tarehe 4 Julai 2024 na mwisho wa kurudisha fomu ni tarehe 30 Septemba 2024.
Mtihani wa kujiunga na chuo utafanyika tarehe 2 Oktoba, 2024 saa 2:30 Asubuhi. Masomo yataanza Januari, 2025.
SIFA ZA KUJIUNGA
- Umri kuanzia miaka 15 na kuendelea; na
- Kuanzia ngazi ya elimu ya msingi
UPATIKANAJI WA FOMU
- Fomu zinapatikana katika vyuo vyote vya VETA na kwenye tovuti: www.veta.go.tz.
- Siku ya kurudisha fomu, mwombaji atalipia kiasi cha Tshs 5,000 (Elfu Tano tu).
KARIBU UJIUNGE NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI.
KWA MAELEZO NA UFAFANUZI ZAIDI, WASILIANA NASI:
VETA Makao Makuu,
12 Barabara ya VETA, 41104 Tambukareli,
S. L. P. 802, Dodoma
Barua pepe: [email protected] au [email protected]
Simu: +255 26 2963661
Simu ya mkononi: 0755267489
Tags: NAFASI za Kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA 2024/2025
Naomba kutangaza biashara na nyi