RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


SIMBA Yamuuza Henock Inonga

Filed in Usajili, Michezo by on 24/06/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

SIMBA Yamuuza Henock Inonga

SIMBA Yamuuza Henock Inonga

SIMBA Yamuuza Henock Inonga

SIMBA Yamuuza Henock Inonga, Klabu Simba imefikia makubaliano ya kumuuza mlinzi wa kati, Henock Inonga kwenda FA Rabat inayoshiriki Ligi Kuu nchini Morocco.

Inonga raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amebakisha Mkataba wa mwaka mmoja unaomalizika 2025 lakini kutokana na klabu kujali na maslahi ya wachezaji, imemruhusu beki huyo kuondoka kwenda kujiunga na FA Rabat.

SIMBA Yamuuza Henock InongaInonga alijiunga na kikosi Cha Simba mwaka 2021 akitokea DC Motema Pembe ya Congo.

Katika kipindi cha miaka mitatu alichodumu ndani ya kikosi Cha Simba Inonga amekuwa muhimili wa timu na makocha wote waliopita wamekuwa wakimpa nafasi kwenye kikosi cha
kwanza.

SIMBA Yamuuza Henock Inonga

SIMBA Yamuuza Henock Inonga

Mwaka 2022 Inonga alichaguliwa mlinzi bora wa Ligi kuu ya Tanzania baada ya kuonesha kiwango bora katika msimu huo.SIMBA Yamuuza Henock Inonga

Uongozi wa Simba umemshukuru Inonga kwa utumishi wake ullotukuka katika kipindi chote alichokuwa Simba na pia imemtakia kheri katika maisha yake mapya ya soka nje ya Simba.

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.