RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

NAFASI za Freelancer Kutoka Benki ya CRDB 2024

Filed in Ajira by on 12/07/2024

NAFASI za Freelancer Kutoka Benki ya CRDB 2024

NAFASI za Freelancer Kutoka Benki ya CRDB 2024,Job Opportunities at NAD Insurance Agency Company Limited 2024, Nafasi za Kazi Kutoka NAD Insurance Agency, Ajira Mpya za Freelancer Kutoka Benki ya CRDB.

Benki ya CRDB Kupitia Wakala Mkuu Kanda ya Ziwa, NAD Insurance Agency inawatangazia Watanzania wote wenye Sifa kuomba kazi Katika kitengo cha Mauzo (Freelancers).

SIFA ZA MUOMBAJI

  • Awe na umri kuanzia miaka 18 na kuendelea.
  • Awe amehitimu wa kidato cha nne au Chuo.
  • Awe na Simu Janja (Smartphone – Android).
  • Awe mchapakazi hodari na nadhifu.

Location:

  • Mwanza
  • Kagera
  • Simiyu na
  • Mara

Soma: MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira za INEC 2024

Kwa Waombaji wote wa kazi hii tafadhali Wasiliana na Msimamizi wa Kampuni ya NAD Insurance Agency Kwa namba Simu namba 0742948179.

Tafadhali Piga Simu, usitume sms wala Ku-beep.

Tags: , , ,

Comments are closed.