NAFASI 128 za Mfamasia July 07-2024
NAFASI 128 za Mfamasia July 07-2024
NAFASI 128 za Mfamasia July 07-2024,Nafasi za Kazi za Mfamasia Kutoka Mikoa Mbalimbali Mwezi July 2024, Ajira 128 za Mfamasia Kada ya Afya Tanzania July 2024, Nafasi za Kazi za Mfamasia Kutoka Tamisemi July 07-2024.
POST MFAMASIA DARAJA LA II (PHARMACIST II). – 128 POST
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kuainisha mahitaji ya dawa na vifaa na kuandaa bajeti yake.
- Kuagiza,kununua,kuhifadhi na kusambaza dawa na vifaa tiba katika kituo chake cha kazi.
- Kuweka kumbukumbu za dawa.
- Kuandaa orodha ya dawa za hospitali (Hospital Fomulary) kwa matumizi ya kituo anapofanya kazi.
- Kutoa dawa na vifaa tiba kwa wagonjwa.
- Kusimamia matumizi sahihi ya dawa.
- Kutengeneza dawa(compounding) kwa matumizi ya kituo anapofanya kazi.
- Kukagua maduka ya dawa katika sekta binafsi.
- Kutoa taarifa juu ya madhara yanayotokana na matumizi ya dawa (Adverse drug reaction).
- Kuwa katibu wa kamati Tiba ya Hospitali (Hospital Therapeutic Commitee) anapofanya kazi.
- Kuelimisha watumishi walio chini yake, watumishi wengine wa sekta ya afya na jamii juu ya matumizi sahihi ya dawa.
- Kusimamia utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Dawa katika kituo anapofanya kazi.
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye shahada ya Famasi kutokachuo kinachotambuliwa na Serikaliwaliohitimu mafunzo ya vitendo kazini (Internship) ya mwaka mmoja ambao wamesajiliwa na Baraza la Famasi.
NAFASI 128 za Mfamasia July 07-2024
POST: MFAMASIA DARAJA LA II (PHARMACIST II). – 4 POST Employer: Mkoa wa Arusha More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: MFAMASIA DARAJA LA II (PHARMACIST II). – 8 POST Employer: Mkoa wa Dar es Salaam More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: MFAMASIA DARAJA LA II (PHARMACIST II). – 7 POST Employer: Mkoa wa Dodoma More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: MFAMASIA DARAJA LA II (PHARMACIST II). – 4 POST Employer: Mkoa wa Geita More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: MFAMASIA DARAJA LA II (PHARMACIST II). – 2 POST Employer: Mkoa wa Iringa More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: MFAMASIA DARAJA LA II (PHARMACIST II). – 13 POST Employer: Mkoa wa Kagera More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: MFAMASIA DARAJA LA II (PHARMACIST II). – 3 POST Employer: Mkoa wa Katavi More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: MFAMASIA DARAJA LA II (PHARMACIST II). – 12 POST Employer: Mkoa wa Kigoma More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: MFAMASIA DARAJA LA II (PHARMACIST II). – 3 POST Employer: Mkoa wa Shinyanga More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: MFAMASIA DARAJA LA II (PHARMACIST II). – 1 POST Employer: Mkoa wa Simiyu More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: MFAMASIA DARAJA LA II (PHARMACIST II). – 1 POST Employer: Mkoa wa Singida More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: MFAMASIA DARAJA LA II (PHARMACIST II). – 5 POST Employer: Mkoa wa Songwe More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: MFAMASIA DARAJA LA II (PHARMACIST II). – 1 POST Employer: Mkoa wa Tabora More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: MFAMASIA DARAJA LA II (PHARMACIST II). – 4 POST Employer: Mkoa wa Tanga More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
Tags: Ajira 128 za Mfamasia Kada ya Afya Tanzania July 2024, NAFASI 128 za Mfamasia July 07-2024, Nafasi za Kazi za Mfamasia Kutoka Mikoa Mbalimbali Mwezi July 2024, Nafasi za Kazi za Mfamasia Kutoka Tamisemi July 07-2024.