RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


1535 Waitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Muleba July 18-2024

Filed in Ajira, Uncategorized by on 18/07/2024

1535 Waitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Muleba July 18-2024

1535 Waitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Muleba July 18-2024

1535 Waitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Muleba July 18-2024

1535 Waitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Muleba July 18-2024,Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Muleba Kaskazini na Kusini anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba kazi ya Waandikishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki kuwa usaili unatarajia kuendeshwa kwa utaratibu ufuatao:-

Wasailiwa wanaotoka katika Tarafa ya Nshamba na Muleba usaili utafanyika tarehe 22/07/2024 katika ukumbi wa Igabiro Farm (Chuo cha Kilimo) kuanzia saa 1:30 asubuhi.

Wasailiwa wanaotoka katika Tarafa ya Kamachumu na Izigo usaili utafanyika tarehe 23/07/2024 katika ukumbi wa Shule ya Msingi St. Michael (Kagondo) kuanzia saa 1:30 asubuhi.

Wasailiwa wanaotoka katika Tarafa ya Kimwani usaili utafanyika tarehe 24/07/2024 katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Kishoju kuanzia saa 1:30 asubuhi.

1535 Waitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Muleba July 18-2024

1535 Waitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Muleba July 18-2024

Aidha, katika usaili unatakiwa kufanya yafuatayo:-

  • Kila msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
    Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha NIDA, Kitambulisho cha Mpira kura, Kitambulisho cha Mkazi, Hati ya Kusafiria, Leseni ya Udereva na Barua ya Utambulisho toka Serikali ya Kijiji kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji, kwa watumishi wa Umma awe na kitambulisho cha kazi.
  • Kila msailiwa atajigharamia Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili ifahamike kuwa hakufanikiwa kuingia kwenye usaili.

Orodha ya waoitwa kwenye usaili imeambatanishwa kwenye PDF hapa chini;

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA JIMBO LA MULEBA KUSINI NA KASKAZINI

Tags:

Comments are closed.