RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

NACTE Fomu za Kujiunga na Vyuo vya Afya 2024/2025

Filed in EDUCATION by on 20/08/2024

NACTE Fomu za Kujiunga na Vyuo vya Afya 2024/2025

NACTE Fomu za Kujiunga na Vyuo vya Afya 2024/2025, NACTE Joining Instructions 2024/2024, NACTE Jinsi ya Kujiunga na Vyuo Vya Afya 2024/2025, Fomu za Kujiunga na Vyuo vya Afya 2024/2025 (Joining Instructions) NACTE,NACTE Joining Instructions Vyuo Vya Afya PDF 2024/2025Orodha ya Vyuo vya Afya na Joining Instructions.

Katika Makala hii utapata maelezo ya jinsi ya Kudownload fomu za kujiunga na vyuo vya afya kwa mwaka wa masomo 2024/2025.

Fomu hizi zinahitajika kwa wanafunzi wote waliokubaliwa katika vyuo vya afya nchini Tanzania.

Hapa utapata taarifa muhimu kuhusu vyuo unavyotarajia kujiunga navyo pamoja na taratibu za kujiunga na vyuo hivo.

Joining Instructions ni nyaraka zinazotolewa na vyuo husika kwa wanafunzi waliokubaliwa kujiunga.

Nyaraka hizi zina taarifa muhimu kuhusu chuo, kozi utakayosoma, muda wa masomo pamoja na taarifa zingine zinazohusiana na chuo husika.

Pia fomu hizi zinaeleza mahitaji yote ya kujiunga na chuo husika.

Hapa chini tumekuweke namna ya Kudownload Joining Instructions za Vyuo vya Afya 2024/2025.

Ili uweze Kudownload Joining Instructions za vyuo vya afya mwaka wa Masomo wa 2024/2024 fuata hatua zifuatazo:

  • Tembelea tovuti rasmi ya NACTVET.
  • Bonyeza sehemu ya “Registered Institutions”.
  • Tafuta jina la chuo unachotaka kujiunga nacho.
  • Bonyeza kiungo cha Kudownload Joining Instructions za chuo husika.

Kuona Orodha ya Vyuo vya Afya Tanzania tafadhali bonyeza hapa

NACTE FOMU ZA KUJIUNGA NA MAELEKEZO BOFYA HAPA

Tags: , , , ,

Comments are closed.