RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MARA Region Walioitwa kwenye Usaili Ajira za INEC 2024

Filed in Ajira by on 20/08/2024

MARA Region Walioitwa kwenye Usaili Ajira za INEC 2024,Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira za INEC 2024 Mkoa wa Mara, Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira za NEC 2024, INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usail Uboreshaji Daftari la Wapiga Kura 2024, Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za NEC Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024.

MARA Region Walioitwa kwenye Usaili Ajira za INEC 2024.

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na mchakato wa uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi ya mwaka 2024.

Kutokana na hilo Nijuze Habari tumekuwekea hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki Uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024/2025 Mkoa wa Mara.

MAJINA YA WAOMBAJI WALIOITWA KWENYE USAILI NA TUME HURU YA UCHAGUZI MKOA WA MARA AUGUST 2024.

MAMBO YA KUZINGATIA:

  • Kila msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwaajili ya utambuzi.
  • Vitambulisho vinavyokubaliwa ni pamoja na kitambulisho cha NIDA, kitambulisho cha mpiga kura, kitambulisho cha mkazi, hati ya kusafiria, leseni ya udereva au barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa/ kijiji.
  • Kila msailiwa atajigharamia usafiri na chakula na malazi.
  • Kila msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali palipopangwa kufanyia usaili.
  • Kila msaili aje na kalamu ya rangi ya blue/ nyeusi kwaajili ya kuandikia.

Waombaji ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia masharti ya tangazo husika.

Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatishwa kwenye PDF hapa chini;

  1. TARIME MJINI
  2. TARIME VIJIJINI
  3. MUSOMA MJINI
  4. MUSOMA VIJIJINI
  5. RORYA
  6. SERENGETI
  7. BUTIAMA
  8. BUNDA MJINI
  9. BUNDA VIJIJINI

Tags:

Comments are closed.