NAFASI za Kazi MDAs na LGAs January 23-2024
NAFASI za Kazi MDAs na LGAs January 23-2024
NAFASI za Kazi MDAs na LGAs January 23-2024,Tangazo la Nafasi za Kazi MDA’s na LGA’s 23-01-2024,Ajira portal, ajira.go.tz 2024, Ajira portal login, Sekretarieti ya ajira, NAFASI za kazi 2024, Ajira portal Vacancies.
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara, Idara zinazo jitegemea, Wakala za Serikali, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDAs & LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia moja sabini na saba (177) kama ilivyoainishwa
katika tangazo hili.
TABIBU II (CLINICAL OFFICER) NAFASI – 15
MAJUKUMU YA KAZI
- Kazi zote zinazofanywa na Tabibu Msaidizi
- Kutambua na kutibu magonjwa ya kawaida
- Kusimamia utendaji wa Watumishi walio chini yake na kufanya upasuaji
mdogo - Kushiriki katika kupanga na kutekeleza huduma za Afya Msingi
- Kushauri na kuhamasisha Wananchi kuchangia huduma za afya za mfuko wa Afya ya Jamii
- Kuweka kumbukumbu za vifaa na zana za kutolea huduma
- Kuweka kumbukumbu, kuandaa na kutoa taarifa za utekelezaji
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi zinazahusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
SIFA ZA MWOMBAJI
- Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita wenye Stashahada ya Tabibu ya muda wa miaka mitatu kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.
NGAZI YA MSHAHARA
- Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali TGHS-B
AFISA KILIMO DARAJA LA II- (NAFASI 30)
MAJUKUMU YA KAZI
- Kudhibiti visumbufu vya mazao na mimea;
- Kukusanya takwimu za bei na mazao kila wiki na kila mwezi;
- Kukusanya takwimu za upatikanaji mazao katika masoko kila wiki/kila mwezi;
- Kuendesha mafunzo ya wataalam wa kilimo;
- Kufanya ukaguzi wa ubora na matumizi ya pembejeo na zana;
- Ufuatiliaji wa mwenendo wa soko la mazao ya biashara;
- Kuendesha mafunzo juu ya hifadhi bora ya udongo na maji;
- Kutoa habari juu ya technolojia mpya kwa wadau;
- Kuandaa/kuandika taarifa za utekelezaji kwa sekta ndogo ya mazao;
- Kusimamia/kuendeleza taaluma ya uzalishaji mboga, matunda, maua na mazao mengine;
- Kusimamia/kuendeleza uzalishaji wa mbegu bora;
- Kuandaa, kutayarisha, kufunga na kusambazambegu bora.
CLICK HERE TO APPLY
Ajira portal updates, NAFASI za KAZI zilizotangazwa leo, AJIRA LEO, Call for Interview Ajira Portal Public Service, Recruitment Secretariat MDAs & LGAs, Nijuze Habari Ajira Portal, Tangazo la Nafasi za Kazi Taasisi Mbalimbali za Serikali 23-01-2024.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- TETESI Za Usajili Simba SC Dirisha Dogo 2023/2024
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
Tags: AJIRA LEO, Ajira portal, Ajira portal login, Ajira portal updates, Ajira portal Vacancies, ajira.go.tz 2024, Call for Interview Ajira Portal Public Service, Nafasi za kazi 2024, NAFASI za Kazi MDA's na LGA's 23-01-2024, NAFASI za Kazi MDAs na LGAs January 23-2024, Nafasi za kazi zilizotangazwa leo, Nijuze Habari Ajira Portal, Recruitment Secretariat MDAs & LGAs, Sekretarieti ya Ajira, Tangazo la Nafasi za Kazi MDA's na LGA's 23-01-2024