RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


JINSI ya kujua deni la gari lako Online

Filed in Habari, Makala, Michezo by on 14/07/2024

JINSI ya kujua deni la gari lako Online

JINSI ya kujua deni la gari lako Online,TMS CHECK Angalia deni la gari online,Kujua deni la gari,Kujua deni la gari - TMS TRAFFIC CHECK, Jinsi ya kuangalia deni la Gari na kulipia kwa njia ya simu,Kuangalia Deni la gari online.

JINSI ya kujua deni la gari lako Online

JINSI ya kujua deni la gari lako Online,TMS CHECK Angalia deni la gari online,Kujua deni la gari,Kujua deni la gari – TMS TRAFFIC CHECK, Jinsi ya kuangalia deni la Gari na kulipia kwa njia ya simu,Kuangalia Deni la gari online.

Tumia ukurasa huu kujua deni la gari yako online – epuka ajali tii sheria.

Jinsi ya kulipa deni la traffic

Habari ndugu msomaji wa Nijuze  Habari Blog, Je unatatizo la traffic barabarani na unahitaji kulipia deni la gari lako? au unataka kuhakikisha kama gari lako lina deni?

Umepoteza karatasi ya kulipia fine ya gari lako na unajiuliza utafanyaje uweze kulipia deni la gari lako?

Njia sahihi ni kubofya link hapo chini itakupeleka ukurasa wa kuweza kuandika namba ya gari lako na kuona kama linadaiwa au halidaiwi.

Hii link itakuwezesha pia kupata control number kwaajili ya kufanya malipo.

Au Unaweza kujaza namba za Gari lako hapo kwenye Jedwali kisha bonyeza Search utapata matokeo ya chombo chako

https://tms.tpf.go.tz/

Ingiza namba ya Gari Mf. T100 ABC

JINSI ya kujua deni la gari lako Online,TMS CHECK Angalia deni la gari online,Kujua deni la gari,Kujua deni la gari - TMS TRAFFIC CHECK, Jinsi ya kuangalia deni la Gari na kulipia kwa njia ya simu,Kuangalia Deni la gari online.Jinsi ya kulipia deni la gari kwa njia ya Simu

Endapo utakuwa umekagua namba ya gari lako na kukutana na fine ambayo inatakiwa kulipwa, Unaweza kutumia njia ya rahisi ya simu kufanya malipo na kuondoa deni lako

  1. Fungua menu ya malipo kama ni Airtel Money, M-pesa, tigo pesa au halo pesa
  2. Chagua namba inayohusiana na kulipia bili
  3. Mitandao mingine itakupa menu ya kuweza kuweka namba ya kampuni ambapo ukichagua utajaza 001001 baada ya hapo utajaza kumbukumbu namba ambayo ipo kwenye receipt ya faini au TMS uliopata online [ https://tms.tpf.go.tz/]
  4. Mitandao mingine itakupa option ya kujaza kumbukumbu namba mwishoni kujaza namba ya kampuni. Kwenye kumbukumbu namba jaza namba ya receipt ya TMS kwenye namba ya kampuni jaza 001001
  5. Baada ya hapo jaza kiasi cha malipo
  6. Mwisho kabisa weka namba ya siri. Deni lako litakuwa limefutika

Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0677038217

Pia unaweza Kulipia deni la gari lako Kupitia matawi ya benki kama;

Jinsi ya Kuangalia deni la Gari Kwa Simu, Jinsi ya kuangalia Deni la leseni,
Kuangalia Deni la gari bima, Jinsi ya Kuangalia deni la Gari kwa simu, Jinsi ya kuangalia deni la gari kwa simu pdf, Kujua deni la leseni Ya udereva
TMS check, Jinsi ya Kuangalia Deni La Gari parking, Kuangalia Deni la leseni Online, Jinsi ya kuangalia deni la gari,
Kuangalia Deni la gari polisi.

Tags: , , , , ,

Comments are closed.