Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu, Lipa Kwa M-Pesa Vodacom Tanzania, M-Pesa / Lipa kwa simu. Lipa kwa Simu. Lipa Kwa Simu, Vodacom Tanzania.
Piga *150*00# au tumia M-Pesa App.
LIPA kwa Simu au LIPA kwa M-pesa ni huduma ya kisasa na jumuishi ya mfumo wa malipo utakao wezesha Makampuni, Mawakala wa jumla na rejareja na Wafanyabiashara wengine kulipia bidhaa zao kwa kutumia M-PESA.
Huduma hii ya LIPA kwa Simu imekuja ili kuboresha mazingira ya Wafanyabiashara na Makampuni kwa kupanua mbinu za malipo kutoka kwa wafanyabiashara na Makampuni na Wauzaji wa aina mbalimbali.
Mawakala wa jumla na rejareja wataweza kununua na kulipia bidhaaa zao kwa kutumia huduma hii ya LIPA KWA M-PESA au LIPA KWA SIMU, Njia hii ni ya haraka, salama na inampa mteja wepesi zaidi wa kufanya biashara.
Mfanyabiashara atakuwa na Lipa namba na QR code ambazo zitaruhusu wateja kulipia bidhaa kwa kuingiza Lipa namba au kuskani picha ya QR.
Jinsi ya Kutumia:
MTEJA:
Kwenye USSD
Piga *150*00#
Chagua 4 (Lipa kwa M-pesa)
Chagua 1 ( Lipa kwa Simu)
Ingiza Lipa Namba
Ingiza LIPA Namba
Ingiza kiasi cha kulipa
Ingiza namba ya Siri kuthibitisha.
HOW TO PAY MERCHANTS WITH M-PESA LIPA NUMBER :
VODACOM CUSTOMERS:
USING USSD
1. Dial *150*00#
2. Select Pay by phone
3. Enter Lipa number
4. Enter amount in Tsh
5. Enter M-Pesa pin
6. You will receive an SMS to confirm the transaction.
Using M-Pesa App
1. Launch M-Pesa app and tap on the QR icon top right
2. Scan the QR code that is on the table talker/sticker
3. Enter amount followed by pin to complete transaction
TIGO CUSTOMERS:
1. Dial *150*00#
2. Select send money
3. Select to other networks
4. Select M-Pesa
5. Enter Lipa number(seven digits)
6. Enter amount in Tsh and pin
7. You will receive an SMS to confirm transaction.
HALOTEL CUSTOMERS
1. Dial *150*88#
2. Select send money
3. Select to other networks
4. Select M-Pesa
Ndugu mteja wa Vodacom Tanzania Unaweza kutuma hadi Tshs 3m kwa siku au kuwa na hadi Tshs 5m kwenye akaunti yako ya M-Pesa wakati wowote ukikamilisha usajili wako.
KUMBUKA:
Hakikisha taarifa zako za M-Pesa ni sahihi vinginevyo fika katika duka la Vodacom au Wakala aliyepo karibu nawe kuhakiki taarifa zako.
Hakikisha kama kikamilifu kwa kupiga *106#
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA ADA ZA LIPA KWA M-PESA MITANDAO YOTE
Unapofanya malipo kwa wafanyabiashara waliosajiliwa katika huduma ya LIPA KWA M-PESA utatozwa ada ndogo ya 0.5% ya kiasi unacholipa kwa malipo yote ya hadi Tsh 1,500,000/=.
Kwa msaada zaidi wasiliana na huduma kwa wateja kwa kupiga namba 100 bure.
Revolutionizing digital payments in Tanzania
Pay by Phone is Vodacom’s Merchant payments solution launched In November 2016 to digitize payments in the Tanzania retail Ecosystem and enable merchants and retailers collect payments seamlessly while helping customers to avoid the risks and burdens of carrying cash. In March 2017 Vodacom enhanced the service by launching a new M-Pesa App which amongst other benefits, supports QR-code payments which simplifies the payment experience further by eliminating the need to type in till numbers at retail touch points. QR codes is new in mobile money platforms in Tanzania, geared to enable simplicity and sophistication of M-Pesa transactions.
Pay by phone has enabled customers of all networks and banks to achieve payments easier, security compared to cash that is costly and risky which is why we say M-Pesa home of digital payments since customers from all networks and banks have been enabled to pay merchants from their Lipa number. Paying with your phone allows you to get the following benefits
- All networks and bank accounts connected to M-Pesa payments to reduce the hassle of having multiple till numbers
- Safe, not bulky and risk-free. (Avoids risk of robbery, theft, fake notes, Contaminations with Germs)
- Faster and convenient for distance payments (higher velocity compared to cash)
- Simple and efficient. No hassle for change, Simplicity of QR codes, keeps all transaction records.
- Pay by Phone solution will enable you to pay conveniently to a diverse group of merchants across all sectors like Pubs and Bars, Hotels, Restaurants and Cafes, Supermarkets, Fuel stations, Cinema outlets, Pharmacies, Hardware stores
Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu, Lipa Kwa M-Pesa Vodacom Tanzania, M-Pesa / Lipa kwa simu. Lipa kwa Simu. Lipa Kwa Simu, Vodacom Tanzania, Faida ya lipa kwa simu, Lipa kwa Mpesa charges, Makato ya Mpesa 2023 PDF jinsi ya kupata namba ya lipa kwa simu -tigo, Makato ya Mpesa kutoa kwa wakala, Makato ya Mpesa 2023 Tanzania, Makato ya lipa kwa simu tigo pesa, makato ya lipa kwa m-pesa 2023, Ada za Lipa kwa Simu, ada za lipa kwa m-pesa pdf, Makato ya Lipa kwa Simu Vodacom, Ada za lipa kwa simu tigo.
A NOTE FOR MERCHANTS: Your merchant till (Lipa number) is only for collecting payments from goods or services offered by your business (Lipa transactions), It is a crime to use your Lipa number to perform any other transaction types that are not directly linked with receipt of payments from goods or services offered by your business. If your merchant till will be found to perform a different type of transaction that are not merchant payments related, Vodacom will put charges in the merchant till to reflect the nature of the transactions.
HOW TO PAY MERCHANTS with M-Pesa Lipa Number : VODACOM CUSTOMERS: Using USSD
- 1. Dial *150*00#
- 2. Select Pay by phone
- 3. Enter Lipa number
- 4. Enter amount in Tshs
- 5. Enter M-Pesa pin
- 6. You will receive an SMS to confirm the transaction.
Using M-Pesa APP
- 1. Launch M-Pesa app and tap on the QR icon top right
- 2. Scan the QR code that is on the table talker/sticker
- 3. Enter amount followed by pin to complete transaction
HOW TO PAY MERCHANTS: Tigo CUSTOMERS
- 1. Dial *150*00#
- 2. Select send money
- 3. Select to other networks
- 4. Select M-Pesa
- 5. Enter Lipa number(seven digits)
- 6. Enter amount in Tshs and pin
- 7. You will receive an SMS to confirm transaction.
HOW TO PAY MERCHANTS: Halotel CUSTOMERS
- 1. Dial *150*88#
- 2. Select send money
- 3. Select to other networks
- 4. Select M-Pesa
- 5. Enter Lipa number(seven digits)
- 6. Enter amount in Tshs and pin
- 7. You will receive an SMS to confirm transaction.
HOW TO PAY MERCHANTS: Zantel CUSTOMERS
- 1. Dial *150*02#
- 2. Select send money
- 3. Select to other networks
- 4. Select M-Pesa
- 5. Enter Lipa number(seven digits)
- 6. Enter amount in Tshs and pin
- 7. You will receive an SMS to confirm transaction.
HOW TO PAY MERCHANTS: Airtel CUSTOMERS
- 1. Dial *150*60#
- 2. Select send money
- 3. Select to other networks
- 4. Select M-Pesa
- 5. Enter Lipa number(seven digits)
- 6. Enter amount in Tshs and pin
- 7. You will receive an SMS to confirm transaction.
HOW TO PAY MERCHANTS: Paying from Bank accounts
- 1. Open your banks financial service menu
- 2. Select payments
- 3. Select pay with
- 4. Select Lipa kwa M-Pesa
- 5. Enter Lipa number(seven digits)
- 6. Enter amount in Tshs followed by your bank Pin
- 7. You will receive an SMS to confirm the transaction.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- TETESI Za Usajili Simba SC Dirisha Dogo 2023/2024
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
Tags: ada za lipa kwa m-pesa pdf, Ada za Lipa kwa Simu, Ada za lipa kwa simu tigo., Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Faida ya lipa kwa simu, Lipa Kwa M-Pesa Vodacom Tanzania, Lipa kwa Mpesa charges, Lipa kwa Simu, M-Pesa / Lipa kwa simu. Lipa kwa Simu. Lipa Kwa Simu, makato ya lipa kwa m-pesa 2023, Makato ya lipa kwa simu tigo pesa, Makato ya Lipa kwa Simu Vodacom, Makato ya Mpesa 2023 PDF jinsi ya kupata namba ya lipa kwa simu -tigo, Makato ya Mpesa 2023 Tanzania, Makato ya Mpesa kutoa kwa wakala, Vodacom Tanzania