RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


AZAM FC Yashinda Kesi dhidi ya Prince Dube

Filed in Michezo, Usajili by on 21/04/2024

AZAM FC Yashinda Kesi dhidi ya Prince Dube

AZAM FC Yashinda Kesi dhidi ya Prince Dube

AZAM FC Yashinda Kesi dhidi ya Prince Dube

AZAM FC Yashinda Kesi dhidi ya Prince Dube,Klabu ya Azam FC imeshinda kesi dhidi ya Mshambuliaji wao Prince Dube kuhusu masuala ya kimkataba na sasa mchezaji huyo atatakiwa kuilipa klabu ya Azam.

Dube ametakiwa kuilipa Azam FC kiasi cha Dola 210,000 sawa na zaidi ya milioni 540 za kitanzania ili aweze kuwa mchezaji huru na kujiunga na Klabu yoyote.


Kamati ya Sheria na hadhi za Wachezaji ya TFF ilikutana, Aprili 18, 2024 kupitia mashauri tofauti likiwamo sakata la Mshambuliaji huyo anayehusishwa na kutaka kujiunga na Klabu ya Yanga.

Dube alijiweka mbali na Azam FC akitaka kuondoka kwa madai mbalimbali yakiwemo ya kimkataba.

Mshambuliaji huyo mzaliwa wa Harare, Zimbabwe aliiandikia TFF barua kulalamika kuhusiana na mkataba wake mpya na Azam FC kwamba kuna vitu haviko sawa hivyo hautambui.

Nyota huyo anadai kuwa na mkataba na Azam FC wa hadi mwishoni mwa msimu huu (2023-24) na sio hadi 2026 kama ilivyoripotiwa na waajiri wake.

AZAM FC Yashinda Kesi dhidi ya Prince Dube

Tags:

Comments are closed.