RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


Habari

RATIBA ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Filed in Habari by on 15/08/2024
RATIBA ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
SHARE THIS POST:

RATIBA ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 RATIBA ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024,Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Ibara 145 na 146 inaelezea uwepo wa Serikali za Mitaa pamoja na madhumuni yake. INEC Ratiba ya Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura 2024/2025 Mojawapo ya madhumuni ya kuwepo kwa […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

RAIS Samia Afanya Uteuzi na Uhamisho wa Viongozi

Filed in Habari by on 14/08/2024
RAIS Samia Afanya Uteuzi na Uhamisho wa Viongozi
SHARE THIS POST:

RAIS Samia Afanya Uteuzi na Uhamisho wa Viongozi RAIS Samia Afanya Uteuzi na Uhamisho wa Viongozi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. WALIOITWA Kwenye Mafunzo Ajira za INEC 2024 Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

WATANO Mbaroni wizi wa Injini na Pikipiki Kagera

Filed in Habari by on 14/08/2024
WATANO Mbaroni wizi wa Injini na Pikipiki Kagera
SHARE THIS POST:

WATANO Mbaroni wizi wa Injini na Pikipiki Kagera WATANO Mbaroni wizi wa Injini na Pikipiki Kagera Na Mariam Kagenda _Kagera Jeshi la Polisi Mkoani Kagera linawashikilia watu watano baada ya kukutwa na mashine 12 zinazotumika kwenye boti za kuvulia samaki na pikipiki sita ambazo wanadai ni mali za wizi ambazo ziliibiwa sehemu mbalimbali. MAJINA ya […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

DKT Nchimbi Aagiza Ulipaji Fidia Waliopisha Mradi wa Upanuzi wa Barabara Bukoba Mjini

Filed in Habari by on 12/08/2024
DKT Nchimbi Aagiza Ulipaji Fidia Waliopisha Mradi wa Upanuzi wa Barabara Bukoba Mjini
SHARE THIS POST:

DKT Nchimbi Aagiza Ulipaji Fidia Waliopisha Mradi wa Upanuzi wa Barabara Bukoba Mjini DKT Nchimbi Aagiza Ulipaji Fidia Waliopisha Mradi wa Upanuzi wa Barabara Bukoba Mjini,Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba kuiwezesha Wizara ya Ujenzi kiasi cha Shilingi Bilioni 1.8 kwaajili ya malipo ya […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

TAKUKURU Yaokoa Zaidi ya Milioni 4.3 za Wanufaika wa TASAF Ngara

Filed in Habari by on 08/08/2024
TAKUKURU Yaokoa Zaidi ya Milioni 4.3 za Wanufaika wa TASAF Ngara
SHARE THIS POST:

TAKUKURU Yaokoa Zaidi ya Milioni 4.3 za Wanufaika wa TASAF Ngara TAKUKURU Yaokoa Zaidi ya Milioni 4.3 za Wanufaika wa TASAF Ngara, Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kagera imefanikiwa kuokoa kiasi cha fedha zaidi ya shilingi milioni 4.3 za wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya masikini TASAF 139 katika wilaya […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

DKT. Nchimbi Aagiza Ujenzi wa Barabara ya Kyerwa to Karagwe Kuanza Mara Moja

Filed in Habari by on 08/08/2024
DKT. Nchimbi Aagiza Ujenzi wa Barabara ya Kyerwa to Karagwe Kuanza Mara Moja
SHARE THIS POST:

DKT. Nchimbi Aagiza Ujenzi wa Barabara ya Kyerwa to Karagwe Kuanza Mara Moja DKT. Nchimbi Aagiza Ujenzi wa Barabara ya Kyerwa to Karagwe Kuanza Mara Moja, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhakikisha utekelezaji wa ujenzi wa Barabara ya Kyerwa – Omurushaka Karagwe (km 62.5) […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania August 07-2024

Filed in Habari by on 07/08/2024
EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania August 07-2024
SHARE THIS POST:

EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania August 07-2024 EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania August 07-2024,EWURA Bei Mpya ya Mafuta Kuanzia August 07-2024, EWURA New Fuel Price Tanzania August 2024, New Fuel Price Tanzania Agosti 07-2024, Energy and Water Utilities Regulatory Authority, Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta ya Petroli kuanzia Jumatano tarehe 07-08-2024. NEC […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

SERIKALI yaongeza Posho Madaktari Wauguzi

Filed in Habari by on 05/08/2024
SERIKALI yaongeza Posho Madaktari Wauguzi
SHARE THIS POST:

SERIKALI yaongeza Posho Madaktari Wauguzi SERIKALI yaongeza Posho Madaktari Wauguzi, Serikali ya Tanzania imesema kuwa imeongeza posho za madaktari wanapoitwa nje ya saa za kazi, posho ya sare za wauguzi na ile ya kuchunguza maiti kuanzia mwaka wa fedha 2024/2025. JINSI ya Kuangalia Kama umeitwa kwenye Usaili Ajira Portal UTUMISHI Hatua hiyo imekuja ikiwa ni […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

SERIKALI Kutoa Ajira 137000 Sekta ya Afya

Filed in Habari by on 03/08/2024
SERIKALI Kutoa Ajira 137000 Sekta ya Afya
SHARE THIS POST:

SERIKALI Kutoa Ajira 137000 Sekta ya Afya SERIKALI Kutoa Ajira 137000 Sekta ya Afya,Rais Samia ameiagiza Wizara ya Afya kukamilisha utafiti wa kitaifa kubainisha hali halisi ya wataalam wa afya nchini walioko kwenye soko la ajira ili serikali itambue nguvu kazi iliyoko nje ya vituo vya tiba ikiwemo kwenye soko la ajira. TAUSI hatua za […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »

BASHUNGWA Abainisha Hatua za Utekelezaji wa Miradi ya Barabara na Madaraja Mkoani Kagera

Filed in Habari by on 30/07/2024
BASHUNGWA Abainisha Hatua za Utekelezaji wa Miradi ya Barabara na Madaraja Mkoani Kagera
SHARE THIS POST:

BASHUNGWA Abainisha Hatua za Utekelezaji wa Miradi ya Barabara na Madaraja Mkoani Kagera BASHUNGWA Abainisha Hatua za Utekelezaji wa Miradi ya Barabara na Madaraja Mkoani Kagera, Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amebainisha hatua za utekelezaji wa miradi ya Sekta ya Ujenzi inayoendelea kutekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Mheshimiwa Dkt. Samia […]

SHARE THIS POST:

Continue Reading »