RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Buchosa August 2024

Filed in Ajira by on 03/08/2024

INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Buchosa August 2024

INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Buchosa August 2024

INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Buchosa August 2024

INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Buchosa August 2024, Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Buchosa anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba kazi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki kwaajili ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kuzingatia haya yafuatayo kwa ajili ya usali.

Wasailiwa wanaotoka katika Kata za;

  • Maisome
  • Bangwe
  • Katwe
  • lligamba na
  • Bupandwa

Watafanyiwa usali tarehe 05 Agosti, 2024

Wasailiwa wanaotoka katika Kata za;

  • Bulyaheke
  • Kazunzu
  • Irenza
  • Luharanyonga
  • Nyakaliro
  • Kafunzo
  • Bugoro viii. Buhama
  • Lugata na
  • Nyakasasa

Watafanyiwa usali tarehe 06 Agosti, 2024

Wasailiwa wanaotoka katika Kata za;

  • Nyanzenda
  • Kasisa
  • Bukokwa
  • Kalebezo na
  • Nyehunge
  • Nyakasungwa

Watafanyiwa usali tarehe 07 Agosti, 2024

Aidha, wasailiwa wote walioorodhesha wanatakiwa kufika katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Nyehunge kuanzia saa 02:00 asubuhi kwa ajili ya usaili.
Mambo ya kuzingatia:-

Usaili utafanyika tarehe 05 Agosti, 2024 hadi tarehe 07 Agosti, 2024 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Nyehunge kuanzia saa 02:00 asubuhi.

  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na Kitambulisho cha NIDA, Kitambulisho cha Mpiga Kura, Kitambulisho cha Mkazi, Hati ya Kusafiria, Leseni ya Udereva, au Barua ya Utambulisho toka Serikali ya Kijiji/Mtaa.
  • Kila Msailiwa atajigharamia Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Kila mmoja aje na kalamu ya rangi ya Bluu au Nyeusi kwa ajili ya kuandikia.
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia masharti ya tangazo husika.

Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatanishwa kwenye PDF hapa chini;

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA KUITWA KWENYE USAILI JIMBO LA BUCHOSA AUGUST 2024

Tags:

Comments are closed.