JINSI ya Kuangalia Majina ya Walioitwa Kujiunga na Mafunzo ya JKT Mujibu wa Sheria Mwaka 2024
JINSI ya Kuangalia Majina ya Walioitwa Kujiunga na Mafunzo ya JKT Mujibu wa Sheria Mwaka 2024
JINSI ya Kuangalia Majina ya Walioitwa Kujiunga na Mafunzo ya JKT Mujibu wa Sheria Mwaka 2024,PDF JKT Form Six Selection 2024, How to View JKT Selection for Form Six in 2024,PDF JKT Form Six Selection 2024,www.jkt.go.tz 2024.
- FORM SIX Waliochaguliwa Kujiunga na Mafunzo ya JKT 2024 Awamu ya Pili 2024
- VIGEZO na Sifa za Kujiunga na JWTZ 2023/2024
WITO WA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2024
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limewaita Vijana waliohitimu Elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2024 kutoka Shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria Mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria kwa mwaka 2024 Awamu ya Pili.
Sanjari na wito huo, JKT imewapangia makambi watakayo kwenda kupatiwa Mafunzo na wanatakiwa kuripoti makambini hapo kuanzia Leo tarehe 22 June hadi 26 June 2024,JKT Selection 2024 PDF.
Vijana hao wamepangwa katika Kambi za;
- JKT Rwamkoma – Mara
- JKT Msange Tabora
- JKT Ruvu Pwani
- JKT Mpwapwa, Makutupora
- JKT – Dodoma
- JKT Mafinga – Iringa
- JKT Mlale Ruvuma
- JKT Mgambo na JKT Maramba -Tanga
- JKT Makuyuni Arusha
- JKT Bulombora
- JKT Kanembwa na JKT Mtabila – Kigoma
- JKT Itaka Songwe
- JKT Luwa na JKT Milundikwa Rukwa
- JKT Nachingwea – Lindi
- JKT Kibiti- Pwani na
- JKT Oljoro – Arusha.
JINSI ya Kuangalia Majina ya Walioitwa Kujiunga na Mafunzo ya JKT Mujibu wa Sheria Mwaka 2024
Kutokana na Wito huo Nijuze Habari tumekuandalia maelezo ya hatua kwa hatua ya Jinsi ya Kuangalia Majina hayo na kambi uliyopangiwa.
Ili kuona Majina hayo tafadhali fuata Maelekezo fatuatayo;
- Fungua link Bofya hapa Kisha Nenda sehemu iliyoandika View Names Here.
- Click hapo itafunguka fomu inayokutaka ujaze taarifa zako Kwa usahihi Ili kujua Kambi uliyopangiwa.
- Jaza jina la Shule yako
- Jana jina lako la Kwanza
- Jana jina lako la Kati
- Jaza jina lako la Mwisho.
- Kisha Bofya sehemu tafuta utaona umepangiwa kambi gani.
Aidha JKT imenawataka vijana hao kuripoti wakiwa na vifaa vifuatavyo.
- Bukta ya rangi ya ‘Dark Blue’ yenye mpira kiunoni, iliyo na mfuko mmoja nyuma, urefu unaoishia magotini, isiyo na zipu.
- T-shirt ya rangi ya kijani (Green Vest) Shuka mbili za kulalia zenye rangi ya blue bahari. Soksi ndefu za rangi nyeusi.
- Raba za michezo zenye rangi ya kijani au blue.
- Nguo za kuzuia baridi kwa waliopangiwa mikoa yenye baridi.
- Track suit ya rangi ya kijani au blue.
- Nyaraka zote zinazohitajika katika Udahili wa Kujiunga na Elimu ya Juu, zikiwemo cheti vya Kuzaliwa, Vyeti vya Kuhitimu kidato cha Nne nk.
- Nauli ya kwenda makambini na kurudi nyumbani.
Orodha kamili ya majina ya vijana hao, Makambi ya JKT waliyopangiwa na maeneo Makambi hayo yalipo na vifaa wanavyotakiwa kwenda navyo, Inapatikana katika tovuti ya JKT ambayo ni www.jkt.go.tz
- Aidha, majina hayo pia yanapatikana kupitia simu ya mkononi, kwa mtumiaji kupiga USSD CODE *152*00#, kisha atachagua No 8 (Elimu) ikifuatiwa na No 5 (JKT), ambapo mtumiaji ataingiza namba ya shule aliyosoma ikifuatiwa na majina yake matatu kisha mtumiaji ataoneshwa kambi alilopangiwa na mahali ilipo.
- Huduma hii inapatakana kwa watumiaji wa mitandao yote ya simu nchini.
JKT Selection Camps Tanzania releases Form six 2024-25 PDF
KUONA MAJINA BONYEZA HAPA
For more information Visit Official JKT Website http://www.jkt.go.tz/
Tags: How to View JKT Selection for Form Six in 2024, JINSI ya Kuangalia Majina ya Walioitwa Kujiunga na Mafunzo ya JKT Mujibu wa Sheria Mwaka 2024, JKT Form Six Selection 2024, JKT Form Six Selection., Kambi Za JKT Tanzania, Mafunzo ya jkt ni muda gani, Nafasi za kujiunga na JKT 2024, PDF JKT Form Six Selection 2024, www.jkt.go.tz 2024, www.jkt.go.tz matangazo
Jkt
natakajua kama nimechaguliwa
Naomba kujua kama nimechaguliwa
kujua kijana wangu amepangwa wap
Nahitaji kujua kama hajapangiwa na anahitaji kujiunga na amemaliza form 6
Kama hukuchaguliwa unaweza kwenda kujitolea na ukapokelewa?
Naomba kujua kama binti yangu kachaguliwa
Naomba kujua kama nimechaguliwar