KUITWA Kwenye Usaili Ajira za Mahakama August 14-2024
KUITWA Kwenye Usaili Ajira za Mahakama August 14-2024
KUITWA Kwenye Usaili Ajira za Mahakama August 14-2024, Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama (Judicial Service Commission of Tanzania) August 2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama August 2024, Kuitwa Kwenye Usaili JSC August 2024, Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za Mahakamani August 14-2024.
Kufuatia tangazo la nafasi za ajira mpya zilizotangazwa na Tume ya Utumishi wa
Mahakama tarehe 05 Julai, 2024, napenda kuwafahamisha wananchi walioomba nafasi za kazi kwa Kada mbalimbali kuwa, baada ya uchambuzi wa kina, waombaji waliochaguliwa kuingia kwenye usaili wa hatua ya kwanza watasailiwa kwa nafasi hizo
tarehe na vituo vilivyooneshwa kwenye orodha ya majina ya wasailiwa
iliyoambatishwa na Tangazo hili.
Hatua hii ya usaili itafanyika kwa njia ya Kielektroniki kwa kila Kada iliyoainishwa kwenye jedwali na tarehe husika kuanzia saa 2:30 asubuhi.
Aidha, watakaofaulu usaili katika hatua ya kwanza watafahamishwa tarehe ya hatua nyingine ya usaili wa kujieleza (Oral Interview) na au vitendo (Practical interview) kupitia tovuti ya Tume ya Utumishi wa Mahakama www.jsc.go.tz
KUITWA Kwenye Usaili Ajira za Mahakama August 14-2024
Kwa taarifa hii, wote walioomba nafasi za ajira wadownload PDF hapa chini kuona kituo cha kufanyia usaili na muda uliopangwa.
Kwa wale ambao hawataona majina
yao, watambue kuwa hawakupata nafasi ya kufanya usaili.
Kwa maulizo zaidi piga; simu Na 0734219821 au 0738247341 na Barua pepe: [email protected]
Orodha ya Majina 9,900 ya walioitwa kwenye usaili ajira za Mahakama August 14-2024.
Kuona Orodha ya Majina ya Waliofaulu Usaili na sehemu ambapo Usaili utakapofanyika tafadhali bonyeza hapa chini;
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA