RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA 137 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Mbozi 18-05-2024

Filed in Ajira by on 19/05/2024

MAJINA 137 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Mbozi 18-05-2024

MAJINA 137 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Mbozi 18-05-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Leo tarehe 18 May 2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Leo May 18-2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBOZI 18-05-2024.

MAJINA 137 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Mbozi 18-05-2024

MAJINA 137 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Mbozi 18-05-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Leo tarehe 18 May 2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Leo May 18-2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBOZI 18-05-2024.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote
walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 25-05-2024 hadi 27-05-2024 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye
usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

  • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa.
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
    kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI, Leseni ya udereva,Astashahada,Stashahada, na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
  • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hati za
    matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
    HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
    Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
  •  Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.

  • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
    Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
    vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya
    tangazo husika.
  • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili
  • Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Halmashauri ya Mbozi ni baridi hivyo mnashauriwa
    kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBOZI LEO MAY 18-2024

MAJINA 137 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Mbozi 18-05-2024


Mbozi District is a district in Songwe Region, Tanzania. It is bordered to the north by the Songwe District and Chunya District of the Mbeya Region, to the east by Mbeya Rural District of the Mbeya Region, to the south by the Ileje District and to the west by Momba District.

According to the 2002 Tanzania National Census, the population of Mbozi District was 515,270. The district had an area of 967,900 hectares (2,391,733 acres). The district was restructured in 2016.

The District Commissioner of Mbozi District is D.I. Rwegasira.

As of 2016, Mbozi District is administratively divided into twenty-nine wards. The wards are:

Bara
Halungu
Hasamba
Hasanga
Hezya
Ichenjezya
Idiwili
Igamba
Ihanda
Ilolo
Ipunga
Isalalo
Isansa
Itaka
Itumpi
Iyula
Kilimampimbi
Magamba
Mahenje
Mlangali
Mlowo
Msia
Nambinzo
Nanyala
Nyimbili
Ruanda
Shiwinga
Ukwile
Vwawa

Mbozi District was administratively divided into six divisions, twenty-five wards (no longer including Tunduma, which now has its own town council) and 175 villages. The wards were:

Chilulumo
Chitete
Chiwezi
Halungu
Igamba
Ihanda
Isandula
Isansa
Itaka
Ivuna
Iyula
Kamsamba
Kapele
Mlangali
Mlowo
Msangano
Msia
Myovizi
Myunga
Nambinzo
Ndalambo
Nkangamo
Nyimbili
Ruanda (Mbozi)
Vwawa

Tags: , , ,

Comments are closed.