MAJINA 164 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya Nzega 18-05-2024
MAJINA 164 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya Nzega 18-05-2024
MAJINA 164 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya Nzega 18-05-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Mji Nzega Leo May 18-2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Halmashauri ya Mji Nzega May 18-2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI NZEGA 18-05-2024.
- MAJINA 115 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Chato 18-05-2024
- MAJINA 232 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Mbarali 18-05-2024
- MAJINA 418 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Biharamulo 18-05-2024
- MAJINA 566 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Bunda 18-05-2024
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Nzega anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 25.05.2024 hadi 27.05.2024 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
- Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
- Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
- Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria. - Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji. - Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI. - Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
- Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
- Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
- Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika. - Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
- Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili.
- Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Mji wa Nzega ni baridi na Joto hivyo mnashauriwa
kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi na Joto.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI NZEGA LEO MAY 18-2024
HALMASHAURI YA MJI WA NZEGA.
4.1 Jiografia
Halmashauri ya Mji wa Nzega ni moja kati ya Halmashauri nane za Mkoa wa Tabora inapatikana kati ya Longitudo 32o 30’ – 33o 30’ Mashariki mwa Grinwichi na Latitudo 30 45’ – 5000’ Kusini mwa Ikweta; na ina ukubwa wa eneo la kilomita za mraba 720. Kwa upande wa Kaskazini na Magharibi imepakana na Wilaya ya Igunga.
4.2 Idadi ya Watu
Kulingana na sense ya watu na makazi ya mwaka 2012, Halmashauri ya Mji wa Nzega ilikuwa na jumla ya watu 87,860 kati ya hao Wanaume 43,051 na wanawake 44,809 na inakisiwa kuwa ongezeko la watu ni 2.9%kwa mwaka.
4.3 Hali ya uchumi.
Uchumi wa wakazi wengi wa Halmashauri ya Mji wa Nzega hutegemea kilimo, ufugaji na biashara, aidha shughili hii ya kilimo inakadiriwa kuwapa ajira wakazi wa Mji wa Nzega kwa asilimia 85 kwa watu wote wa Halmashauri, hivyo huchangia asilimia 80 ya pato la halmashauri ambapo pato la mkazi ni wastani wa shilingi 1,729,800 kwa mwaka.
Tags: Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Mji Nzega Leo May 18-2024, MAJINA 164 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya Nzega 18-05-2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Halmashauri ya Mji Nzega May 18-2024, TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI NZEGA 18-05-2024.