MAJINA 181 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Itigi July 03-2024
MAJINA 181 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Itigi July 03-2024
MAJINA 181 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Itigi July 03-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Leo July 03-2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Leo 03-07-2024.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI 03-07-2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 08-07-2024 hadi 12-07-2024 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye
usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
- Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
- Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
- Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
kura,Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria. - Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji. - Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI. - Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
- Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
- Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA) - Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya
tangazo husika. - Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
- Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili
- Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Itigi – Singida ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa
nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi. - Barua ya utambulisho kutoka Ofisi ya Mtendaji wa Kijiji/ Mtaa.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI KUTOKA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI
Tags: Kuitwa Kwenye Usaili Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Leo July 03-2024, MAJINA 181 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Itigi July 03-2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Leo 03-07-2024.