MAJINA 418 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Biharamulo 18-05-2024
MAJINA 418 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Biharamulo 18-05-2024
MAJINA 418 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Biharamulo 18-05-2024, Majina ya Waliotwa kwenye Usaili Wilaya ya Biharamulo 18-05-2024, Majina ya Waliotwa kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo May 18-2024.
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Halimashauri ya Wilaya ya Biharamulo anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 25-26/05/2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi
watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
- Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
- Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria. - Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji. - Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI. - Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
- Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
- Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA) - Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya
tangazo husika. - Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
- Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya Elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:- Mkurugenzi Mtendaji (W), Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo, S.L.P 70, BIHARAMULO.
Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Wilaya ya Biharamulo ni hali ya kawaida tu.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA BIHARAMULO LEO MAY 18-2024
MAJINA 418 ya Waliotwa kwenye Usaili Wilaya ya Biharamulo 18-05-2024
Biharamulo ni mojawapo ya Wilaya nane katika Mkoa wa Kagera yenye eneo la kilometa za mraba 5,627. Kwa upande wa kaskazini Wilaya inapakana na Wilaya ya Muleba na Karagwe Kusini inapatikana Wilaya ya Bukombe na Wilaya Kakonko.Kwa upande wa magharibi inapakana na Wilaya ya Ngara na Mashairki inapakana na Wilaya ya chato.Wilaya ya Biharamulo Imegawanyika katika Tarafa mbili (2) za Nyarubungo na Lusahunga.Pia inazo Kata kumi na saba zenye jumla ya vijiji 74 na vitongoji 384.
Kwa upande wa Mashariki inapakana na Wilaya mpya ya Chato, kwa upande wa Magharibi inapakana na Wilaya ya Ngara, kwa upande wa Kaskazini Wilaya inapakana na Wilaya ya Muleba na Karagwe na Kusini inapakana na Wilaya za Bukombe na Kakonko.
Wilaya ipo kilometa 171 kutoka makao makuu ya Mkoa wa Kagera. Wilaya inapatikana kati ya nyuzi 20 15’ – 3015’ kusini mwa Ikweta na 310 – 320 Mashariki mwa “Standard Meridian”. Pia Wilaya ipo kwenye mwinuko wa kati ya mita 1135 – 1410 kutoka usawa wa bahari
Tags: MAJINA 418 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Biharamulo 18-05-2024, Majina ya Waliotwa kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo May 18-2024, MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili Wilaya ya Biharamulo 18-05-2024