RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA 566 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Bunda 18-05-2024

Filed in Ajira by on 18/05/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MAJINA 566 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Bunda 18-05-2024

MAJINA 566 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Bunda 18-05-2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA 18-05-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Leo May 18-2024, Majina ya Waliotwa kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Leo tarehe 18 May 2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Bunda May 18-2024.

MAJINA 566 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Bunda 18-05-2024

MAJINA 566 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Bunda 18-05-2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA 18-05-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Leo May 18-2024.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote
walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 25-05-2024 hadi 26-05-2024 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye
usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

  • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
  • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
    kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
    Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
  • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
    matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
    HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
    Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
    vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
  • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
  • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA 566 YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA LEO MAY 18-2024

ABOUT BUNDA DISTRICT COUNCIL:

Bunda District Council is one of the Local Government Authorities established in 1984 under District Authority as the provision of section 8 and 9 of 1982 with effect of the first day of January, 1984

LOCATION OF BUNDA DISTRICT:

Bunda District is located on the Western part of Mara region. The District is one of the Nine Local Authorities constitute Mara region. To the North is bordered by Musoma  District Council and  Butiama District, to the South by Lake Victoria and Simiyu Region, to the East by the Serengeti District, and to the West by Lake Victoria. Bunda District Council is located at an elevation of 1,225 meters above sea level.  It is located 2° 0’0’’ S and 33°49’60’’E in Degrees Minutes Seconds.

OUR VISION:

To have a society that enjoys high standard of living through access to quality services, living in peace and secure environment for sustainable development

OUR MISSION:

To build the capacity of the residents by providing high quality services in participatory manner and ensuring optimal utilization of available resources by adhering to the principles of good governance

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , ,

Comments are closed.