MAJINA Mapya ya Walioitwa kwenye Usaili NEC June 17-2024
MAJINA Mapya ya Walioitwa kwenye Usaili NEC June 17-2024
MAJINA Mapya ya Walioitwa kwenye Usaili NEC June 17-2024,Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania Leo Juni 17-2024, Kuitwa Kwenye Usaili NEC, Kuitwa Kwenye Usaili NEC Kasulu Vijijini, Orodha ya Walioitwa kwenye Usaili NEC Kasulu Vijijini Juni 17-2024.
- NEC Yaanzisha Mfumo wa Kupata Kitambulisho Online OVRS
- MASWALI Yanayoulizwa Mara Kwa Mara Ajira za INEC
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na mchakato wa uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura.
Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Namba 2 ya mwaka 2024 kanuni ya 12 kifungu kidogo cha 1(b-f), napenda kuwatangazia waombaji waliofaulu kwenye orodha fupi (short listed) za Waandishi wasaidizi na Waendeshaji wa vifaa vya bayometriki (BVR) kwa ajili ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura kufika kwenye usaili kama inavyoonesha hapa chini
MAMBO YA KUZINGATIA:
- Kila msailiwa atajighalimia, chakula, Usafiri, Malazi na gharama nyinginezo.
- Kila msailiwa azingatie MUDA, TAREHE na MAHALI
- Kila Msailiwa ambaye siyo mtumishi wa Umm anatakiwa kuwa na mojawapo ya vitambulisho vifuatavyo:
- Kitambulisho cha Uraia (NIDA), kitambulisho cha mpiga kura, hati ya kusafiria (passport) Leseni ya udereva na barua ya Utambulisho kutoka Serikali za mitaa/Kijiji.
- Kwa watumishi wa umma kila mmoja aje na aje na kitambulisho cha kazi.
- Waombaji ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue hawakukidhi vigezo vya kuwekwa kwnye orodha fupi (short listed) hawatarajiwi kufika kwenye usaili huu.
- Hata hivyo wasisite kuomba tena matangazo ya ajira za muda zitakapotolewa na Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi nyakati zijazo.
Orodha ya waombaji kulingana na vituo walivyoombea imeambatishwa hapa chini kwenye PDF.
ORODHA YA WANAOITWA KWENYE USAILI KWA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA WAENDESHAJI WA VIFAA VYA BAYOMETRIKI KWA AJILI YA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA JIMBO LA KASULU VIJIJINI DOWNLOAD PDF
MAJINA Mapya ya Walioitwa kwenye Usaili NEC June 17-2024
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema watu wote wenye sifa za kuandikishwa kuwa wapiga kura wataandikishwa hata kama hawana kitambulisho cha Taifa kinachotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bi. Giveness Aswile tarehe 15 Juni, 2024 jijini Dar es Salaam wakati akiwasilisha mada kwenye mkutano wa Tume na Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri.
Mkutano huo unahitimisha mfululizo wa mikutano ambayo Tume imefanya na wadau wake kauanzia tarehe 07 Juni, 2024. Baadae Tume itafanya mikutano na wadau kwenye mikoa yote kwa kuzingatia ratiba ya uboreshaji wa Daftari.
Mikutano hiyo ina lengo Ia kuwapa wadau taarifa za uwepo wa zoezi la uboreshaji wa Daftari Ia Kudumu la Wapiga Kura na kuwapitisha katika vifaa na mifumo ya uandikishaji pamoja na kuona namna zoezi litakavyofanyika vituoni.
“Kuwa na kadi ya NIDA sio kigezo cha kuandikishwa kwenye Daftari la Kudumu Ia Wapiga Kura. Wananchi wote wenye sifa wataandikishwa bila kujali kama wana kadi ya NIDA au la,” amesema Bi. Aswile.
Ameyataja mambo yatakayohusika kwenye uboreshaji wa daftari kuwa ni pamoja na kuandikisha wapiga kura wapya ambao ni raia wa Tanzania wenye umri wa miaka 18 na zaidi na watakaotimiza umri huo ifikapo tarehe ya uchaguzi mkuu 2025 na kutoa fursa kwa wapiga kura waliopo kwenye daftari na ambao wamehama, waweze kuhamisha taarifa zao kutoka kata au jimbo walioandikishwa awali.
Mambo mengine ni kutoa fursa kwa wapiga kura walioandikishwa kurekebisha taarifa zao yakiwemo majina na taarifa nyingine, kutoa kadi mpya kwa wapiga kura waliopoteza kadi au kadi zao kuharibika na kuondoa wapiga kura waliopoteza sifa za kuwemo kwenye Daftari kutokana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuukana uraia wa Tanzania au kifo.
Tags: Kuitwa Kwenye Usaili NEC, Kuitwa Kwenye Usaili NEC Kasulu Vijijini, MAJINA Mapya ya Walioitwa kwenye Usaili NEC June 17-2024, Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania Leo Juni 17-2024, Orodha ya Walioitwa kwenye Usaili NEC Kasulu Vijijini Juni 17-2024.
Orodha ya majina waliochaguliwa kuandikisha daftar la kupiga kura mbeya naomba mnisaidie
Majina ya waliochaguliwa kuandikisha daftar la kupigia kura mbeya
Vipi kuhusu mwanza mmetoa list ya majina???naomba kujua
Vipi wilaya ya nyasa iliyoko mkoa wa RUVUMA washatoa list ya majina? Plz
Morogoro je majina yake lin
Na daresalaam lini?
SONGEA
Dsm mnatoa lini?? Mbona hamueleweki…kazi TUNAITAKA IYO😂😂
Ya mkoa wa RUVUMA vipi.?
Naulizia Kama jinalangu lisha chaguliwa kwenye NEC jina Paul kayungilo Robert. mkoani MWANZA wilaya NYAMAGANA kata BUTIMBA mtaa BOHARI
Naomba kuulizwa majina kata ya kisesa Mwanza mnatoa lining?
uendeshaji wa bvr
Jimbo la Ngara majina yanaonekana wap
Rules majina lini
Jimbo la nsimbo kata ya sitalike