RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

MAJINA ya Nyongeza ya Waliotwa Kwenye Usaili MDAs na LGAs April 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 06/04/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MAJINA ya Nyongeza ya Waliotwa Kwenye Usaili MDAs na LGAs April 2024

MAJINA ya Nyongeza ya Waliotwa Kwenye Usaili MDAs na LGAs April 2024, Kuitwa Kwenye Usaili MDAs na LGAs April 2024, Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI April 2024, Waliotwa kwenye Usajili Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo April 05-2024, Ajira portal news, Call for Interview Ajira Portal MDAs & LGAs, Recruitment portal login, UtumishiPublic Service Recruitment Secretariat, Ajira portal, Sekretarieti ya ajira, Ajira portal login Ajira portal Vacancies, AJIRA LEO,ajira.go.tz 2024

MAJINA ya Nyongeza ya Waliotwa Kwenye Usaili MDAs na LGAs April 2024

MAJINA ya Nyongeza ya Waliotwa Kwenye Usaili MDAs na LGAs April 2024, TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MAJINA YA NYONGEZA 05-04-2024.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 06-04-2024 hadi 09-04-2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu
usaili huo.

MAJINA ya Nyongeza ya Waliotwa Kwenye Usaili MDAs na LGAs April 2024, Kuitwa Kwenye Usaili MDAs na LGAs April 2024, Walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI April 2024, Waliotwa kwenye Usajili Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo April 05-2024, Ajira portal news, Call for Interview Ajira Portal MDAs & LGAs, Recruitment portal login, UtumishiPublic Service Recruitment Secretariat, Ajira portal, Sekretarieti ya ajira, Ajira portal login Ajira portal Vacancies, AJIRA LEO,ajira.go.tz 2024

MAJINA ya Nyongeza ya Waliotwa Kwenye Usaili MDAs na LGAs April 2024

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

  • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
  • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
    kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria au barua ya utambulisho kutoka
    Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka.
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
    Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za
    Mwombaji.
  • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
    matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
    HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
    Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
    vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
  • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
  • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili
  • Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MAJINA YA NYONGEZA 05-04-2024 DOWNLOAD PDF

MAJINA ya Nyongeza ya Waliotwa Kwenye Usaili MDAs na LGAs April 2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , , , , , , , , ,

Comments are closed.