RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili NEC June 16-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 17/06/2024

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili NEC June 16-2024

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili INEC June 16-2024,Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania Leo Juni 16-2024, Kuitwa Kwenye Usaili NEC, Kuitwa Kwenye Usaili NEC Kigoma Ujiji.

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili NEC June 16-2024

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili NEC June 16-2024,Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania Leo Juni 16-2024, Kuitwa Kwenye Usaili NEC, Kuitwa Kwenye Usaili NEC Kigoma Ujiji.

Tume huru ya Taifa ya uchaguzi inaendelea na mchakato wa uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura.

Kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na madiwani namba 2 ya mwaka 2024 kanuni ya 12 kifungu kidogo cha 1(b f), nawatangazia waombaji waliochaguliwa kwa nafasi ya Waandishi wasaidizi na Waendeshaji wa vifaa vya bayometriki kwaajili ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura.

Walioitwa kwenye Usaili wanatakiwa kufika siku ya Jumanne ya tarehe 18, Juni 2024 saa 01:00 asubuhi katika ukumbi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji kwaajili ya usaili wa nafasi walizoomba.

Orodha ya waombaji kulingana na vituo walivyoombea imeambatishwa hapa chini kwenye PDF.

ORODHA YA WANAOITWA KWENYE USAILI KWA NAFASI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA WAENDESHAJI WA VIFAA VYA BAYOMETRIKI KWA AJILI YA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGOMA UJIJI DOWNLOAD PDF

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili NEC June 16-2024

WOTE WENYE SIFA ZA KUANDIKISHWA KUWA WAPIGA KURA WATAANDIKISHWA HATA KAMA HAWANA KITAMBULISHO CHA NIDA

WOTE WENYE SIFA ZA KUANDIKISHWA KUWA WAPIGA KURA WATAANDIKISHWA HATA KAMA HAWANA KITAMBULISHO CHA NIDA

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema watu wote wenye sifa za kuandikishwa kuwa wapiga kura wataandikishwa hata kama hawana kitambulisho cha Taifa kinachotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bi. Giveness Aswile tarehe 15 Juni, 2024 jijini Dar es Salaam wakati akiwasilisha mada kwenye mkutano wa Tume na Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri.

Mkutano huo unahitimisha mfululizo wa mikutano ambayo Tume imefanya na wadau wake kauanzia tarehe 07 Juni, 2024. Baadae Tume itafanya mikutano na wadau kwenye mikoa yote kwa kuzingatia ratiba ya uboreshaji wa Daftari.

Mikutano hiyo ina lengo Ia kuwapa wadau taarifa za uwepo wa zoezi la uboreshaji wa Daftari Ia Kudumu la Wapiga Kura na kuwapitisha katika vifaa na mifumo ya uandikishaji pamoja na kuona namna zoezi litakavyofanyika vituoni.

“Kuwa na kadi ya NIDA sio kigezo cha kuandikishwa kwenye Daftari la Kudumu Ia Wapiga Kura. Wananchi wote wenye sifa wataandikishwa bila kujali kama wana kadi ya NIDA au la,” amesema Bi. Aswile.

Ameyataja mambo yatakayohusika kwenye uboreshaji wa daftari kuwa ni pamoja na kuandikisha wapiga kura wapya ambao ni raia wa Tanzania wenye umri wa miaka 18 na zaidi na watakaotimiza umri huo ifikapo tarehe ya uchaguzi mkuu 2025 na kutoa fursa kwa wapiga kura waliopo kwenye daftari na ambao wamehama, waweze kuhamisha taarifa zao kutoka kata au jimbo walioandikishwa awali.

Mambo mengine ni kutoa fursa kwa wapiga kura walioandikishwa kurekebisha taarifa zao yakiwemo majina na taarifa nyingine, kutoa kadi mpya kwa wapiga kura waliopoteza kadi au kadi zao kuharibika na kuondoa wapiga kura waliopoteza sifa za kuwemo kwenye Daftari kutokana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuukana uraia wa Tanzania au kifo.

Tags: , , , ,

Comments (29)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Eliya Bacheng says:

    Karatu

  2. Jurick John says:

    Mwanza lini?

  3. IMANI says:

    Naomba kupata list ya majina ya walioitwa kwenye usahili wa kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura katika mkoa wa Kilimanjaro Moshi

  4. ATHANAS ROBERT says:

    kwa wale wote walio omba kazi ktk tume huru ya taifa ya uchaguzi na kuteuliwa, fanyeni kazi kwa wered na maarifa kwan zoezi hili ni msingi wa uchaguzi na wat wahamasishwe kujitokeza ktk zoezi la uandikishwaji.

  5. Aloysia Oxford says:

    Manyara lini jamani

  6. Vanny says:

    Mwanza hatupo au

  7. Yovina venance says:

    Naomba kuuliza dodoma lini

  8. Joachim Jonathan Ruhuta says:

    Kibondo ni lini?

  9. YASINI ISSA LUSWAGA from Tabora says:

    How about Tabora region

  10. Witness Emily says:

    Shinyanga lini?

  11. athumani mchuma says:

    Mkoa wa Pwani lini

  12. Grace Michael says:

    Naomba kuuliza Morogoro ni lini?

  13. Ester says:

    Tabora lini?

  14. Karim says:

    Liwale lini

  15. yasinta says:

    mkoa WA dar es salaam lini

  16. John Julius says:

    Mkoa wa Tanga ni lini?

  17. Costantin says:

    Katavi lini

  18. JEDIDIAH RUGEMARILA says:

    Vipi kuhusu mkoa wa kagera n lini

  19. Noela says:

    Kwan majina tayr yamechaguliwa je tunaangaliaj mbn mko washinyang nilini??

  20. Monja. og says:

    lindi libi jamani

  21. Monja. og says:

    Lindi lini mbona kimya