RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI January 19-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 20/01/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI January 19-2024

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI January 19-2024, Majina Mengine ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI January 19-2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Majina ya Nyongeza 19-01-2024,Majina ya nyongeza ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI January 19-2024.

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI January 19-2024

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI January 19-2024, Majina Mengine ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI January 19-2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Majina ya Nyongeza 19-01-2024,Majina ya nyongeza ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI January 19-2024, Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali Leo  January 19-2024

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Hospitali ya Benjamin Mkapa, Wakala ya Barabara Tanzania
(TANROADS) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 20-01-2024 hadi 12-03-2024 a hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI January 19-2024

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI January 19-2024, Majina Mengine ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI January 19-2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Majina ya Nyongeza 19-01-2024,Majina ya nyongeza ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI January 19-2024.

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI January 19-2024

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo
yafuatayo:-

  • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
  • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
    kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
    Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
  • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
    matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
    HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
    Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
    vigezo.
  • Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
  • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
  • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili
  • Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MAJINA YA NYONGEZA 19-01-2024 DONWLOAD PDF HERE

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI January 19-2024, Majina Mengine ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI January 19-2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Majina ya Nyongeza 19-01-2024,Majina ya nyongeza ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI January 19-2024.Majina ya walioitwa kwenye usaili utumishi january 19 2024 release, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2024, Ajira portal, Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TANAPA 2024, WALIOITWA KWENYE USAILI DODOMA 2024, Tangazo LA Kuitwa kwenye usaili utumishi, MAJINA YA walioitwa KWENYE USAILI UTUMISHI 2024 Download, Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili TRA, Tangazo la kuitwa kwenye usaili 2024, Ajira portal login, Majina YA walioitwa kwenye usaili Dodoma, Ajira portal updates, Nijuze Habari Ajira portal.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.