RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

NAFASI 129 za Afisa Lishe July 07-2024

Filed in Ajira by on 07/07/2024

NAFASI 129 za Afisa Lishe July 07-2024

NAFASI 129 za Afisa Lishe July 07-2024, Nafasi za Kazi za Afisa Lishe Kutoka Mikoa Mbalimbali Tanzania Mwezi July 2024, Ajira 129 za Afisa Lishe Kutoka Tamisemi July 2024, Nafasi za Kazi za Afisa Lishe Kada ya Afya July 07-2024.

POST AFISA LISHE DARAJA LA II (NUTRITION OFFICER II) – 129 POST

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kukusanya taarifa na takwimu za lishe kutoka kwa wadau na makundi mbalimbali na kutoa ushauri kuhusu lishe bora katika ngazi ya wilaya.
  • Kuchambua takwimu za lishe na kuandaa taarifa ya watoto na makundi mengine yenye lishe duni.
  • Kushiriki katika kuandaa mipango na bajeti ya lishe katika ngazi ya wilaya.
  • Kutoa taarifa za mara kwa mara za hali ya lishe katika ngazi ya wilaya.
  • Kusimamia kazi za lishe katika wilaya.
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Lishe au Sayansi ya Chakula na teknolojia au Sayansi ya Chakula na teknolojia au Sayansi ya Chakula (BSc.Nutrition, Home Economics and Nutrition, Food Science and Technology and Food Science).

NAFASI 129 za Afisa Lishe July 07-2024

Tags: , , ,

Comments are closed.