RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI 5 za Kazi Kutoka Wilaya ya Kongwa July 01-2024

Filed in Ajira by on 01/07/2024

NAFASI 5 za Kazi Kutoka Wilaya ya Kongwa July 01-2024

NAFASI 5 za Kazi Kutoka Wilaya ya Kongwa July 01-2024,Nafasi za Msaidizi Wa Kumbukumbu kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa Leo tarehe 1 July 2024, nafasi za Mwandishi Mwendesha Ofisi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa leo July 01-2024

NAFASI 5 za Kazi Kutoka Wilaya ya Kongwa July 01-2024

NAFASI 5 za Kazi Kutoka Wilaya ya Kongwa July 01-2024,Nafasi za Msaidizi Wa Kumbukumbu kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa Leo tarehe 1 July 2024, nafasi za Mwandishi Mwendesha Ofisi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa leo July 01-2024

POST MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 2 POST
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
APPLICATION TIMELINE: 2024-07-01 2024-07-14
JOB SUMMARY N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;
  • Kupokea wageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa;
  • Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
  • Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
  • Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;
  • Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
  • Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;
  • Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; na
  • Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha, wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maeneo 80 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGS.C

POST MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 3 POST
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
APPLICATION TIMELINE: 2024-07-01 2024-07-14
JOB SUMMARY N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register)
  • Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register)
  • Kusambaza majalada kwa Watendaji (action officers)
  • Kupokea majalada kwa Watendaji (action officers)
  • Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa Watendaji
  • Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada(racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa
  • Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking)

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa mwenye amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Masjala kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.

REMUNERATION TGS C

Tags: , ,

Comments are closed.