NAFASI 6257 za Kazi MDAs na LGAs 03-2024
NAFASI 6257 za Kazi MDAs na LGAs 03-2024
NAFASI 6257 za Kazi MDAs na LGAs 03-2024,nafasi 6257 za Kazi MDAs & LGAs 03-2024, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara, Idara zinazo jitegemea, Wakala za Serikali, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDAs & LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi Elfu sita, mia mbili, hamsini na saba (6,257) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
DOWNLOAD PDF DOCUMENT HAPA
- NAFASI 382 za Msaidizi wa Kumbukumbu MDAs na LGAs August 2024
- NAFASI 120 za Afisa Ununuzi Msaidizi MDAs na LGAs Jobs August 2024
- NAFASI 958 za Afisa Kilimo Msaidizi MDAs na LGAs August 2024
- NAFASI 119 za Afisa Mazingira MDAs na LGAs August 2024
- NAFASI 514 za Madereva MDAs na LGAs August 2024
- NAFASI 85 za Mhandisi Ujenzi MDAs & LGAs August 2024
- NAFASI 91 za Afisa Misitu MDAs na LGAs August 2024
- NAFASI 63 za Msanifu Majengo MDAs & LGAs August 2024
- NAFASI 63 za Afisa Habari MDAs & LGAs August 2024
- NAFASI 27 za Afisa Ushirika MDAs & LGAs August 2024
- NAFASI 47 za Msaidizi wa Ufugaji Nyuki MDAs na LGAs August 2024
- NAFASI 30 za Mkadiriaji Majenzi MDAs na LGAs August 2024
- NAFASI 193 za Afisa Biashara MDAs na LGAs August 2024
- NAFASI 150 za Msaidizi wa Hesabu MDAs na LGAs August 2024
- NAFASI 327 za Afisa Maendeleo Ya Jamii Msaidizi MDAs na LGAs August 2024
- NAFASI 4 za Mpima Ardhi MDAs & LGAs August 2024
- NAFASI 350 za Afisa Ununuzi MDAs na LGAs August 2024
- NAFASI 90 za Afisa Uvuvi MDAs na LGAs August 2024
- NAFASI 26 za Afisa Wanyamapori MDAs na LGAs August 2024
MASHARTI YA JUMLA.
- Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania wenye umri usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa wale tu walioko kazini serikalini.
- Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutuma maombi na wanapaswa kuainisha kwenye mfumo wa kuombea ajira ulemavu walionao kwa ajili ya taarifa kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.
- Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa kilichothibitishwa na
Mwanasheria/Wakili. - Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia
katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa Waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo. - Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
- Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya kuzaliwa, kidato
cha Nne, kidato cha Sita kwa wale waliofikia kiwango hicho, vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali na vyeti vya kitaaluma kulingana na sifa husika kama
ifuatavyo;.
Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI Computer Certificate
Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards)
Cheti cha kuzaliwa - “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
- Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
- Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
- Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyopo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.
- Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 16 Agosti, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
KATIBU,
OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA,
S. L. P. 2320, DODOMA.
xiii. Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo; http://portal.ajira.go.tz/.= (Anuani hii pia inapatikana
kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’)
Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo
hili HAYATAFIKIRIWA.
Tags: NAFASI 6257 za Kazi MDAs MDAs & LGAs 03-2024, NAFASI 6257 za Kazi MDAs na LGAs 03-2024