RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI za Kazi MDAs na LGAs January 23-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 24/01/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI za Kazi MDAs na LGAs January 23-2024

NAFASI za Kazi MDA's na LGA's 23-01-2024,Tangazo la Nafasi za Kazi MDA's na LGA's 23-01-2024,Ajira portal, ajira.go.tz 2024, Ajira portal login, Sekretarieti ya ajira, NAFASI za kazi 2024, Ajira portal Vacancies, Ajira portal updates, NAFASI za KAZI zilizotangazwa leo, AJIRA LEO, Call for Interview Ajira PortalPublic Service, Recruitment Secretariat MDAs & LGAs, Nijuze Habari Ajira Portal.

NAFASI za Kazi MDA’s na LGA’s 23-01-2024

NAFASI za Kazi MDAs na LGAs January 23-2024,Tangazo la Nafasi za Kazi MDA’s na LGA’s 23-01-2024,Ajira portal, ajira.go.tz 2024, Ajira portal login, Sekretarieti ya ajira, NAFASI za kazi 2024, Ajira portal Vacancies.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara, Idara zinazo jitegemea, Wakala za Serikali, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDAs & LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia moja sabini na saba (177) kama ilivyoainishwa
katika tangazo hili.

TABIBU II (CLINICAL OFFICER) NAFASI – 15

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kazi zote zinazofanywa na Tabibu Msaidizi
  • Kutambua na kutibu magonjwa ya kawaida
  • Kusimamia utendaji wa Watumishi walio chini yake na kufanya upasuaji
    mdogo
  • Kushiriki katika kupanga na kutekeleza huduma za Afya Msingi
  • Kushauri na kuhamasisha Wananchi kuchangia huduma za afya za mfuko wa Afya ya Jamii
  • Kuweka kumbukumbu za vifaa na zana za kutolea huduma
  • Kuweka kumbukumbu, kuandaa na kutoa taarifa za utekelezaji
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi zinazahusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

NAFASI za Kazi MDA's na LGA's 23-01-2024,Tangazo la Nafasi za Kazi MDA's na LGA's 23-01-2024,Ajira portal, ajira.go.tz 2024, Ajira portal login, Sekretarieti ya ajira, NAFASI za kazi 2024, Ajira portal Vacancies, Ajira portal updates, NAFASI za KAZI zilizotangazwa leo, AJIRA LEO, Call for Interview Ajira Portal Public Service, Recruitment Secretariat MDAs & LGAs, Nijuze Habari Ajira Portal.SIFA ZA MWOMBAJI

  • Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita wenye Stashahada ya Tabibu ya muda wa miaka mitatu kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.

NGAZI YA MSHAHARA

  • Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali TGHS-B

AFISA KILIMO DARAJA LA II- (NAFASI 30)

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kudhibiti visumbufu vya mazao na mimea;
  • Kukusanya takwimu za bei na mazao kila wiki na kila mwezi;
  • Kukusanya takwimu za upatikanaji mazao katika masoko kila wiki/kila mwezi;
  • Kuendesha mafunzo ya wataalam wa kilimo;
  • Kufanya ukaguzi wa ubora na matumizi ya pembejeo na zana;
  • Ufuatiliaji wa mwenendo wa soko la mazao ya biashara;
  • Kuendesha mafunzo juu ya hifadhi bora ya udongo na maji;
  • Kutoa habari juu ya technolojia mpya kwa wadau;
  • Kuandaa/kuandika taarifa za utekelezaji kwa sekta ndogo ya mazao;
  • Kusimamia/kuendeleza taaluma ya uzalishaji mboga, matunda, maua na mazao mengine;
  • Kusimamia/kuendeleza uzalishaji wa mbegu bora;
  • Kuandaa, kutayarisha, kufunga na kusambazambegu bora.

CLICK HERE TO APPLY

Ajira portal updates, NAFASI za KAZI zilizotangazwa leo, AJIRA LEO, Call for Interview Ajira Portal Public Service, Recruitment Secretariat MDAs & LGAs, Nijuze Habari Ajira Portal, Tangazo la Nafasi za Kazi Taasisi Mbalimbali za Serikali 23-01-2024.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , , , , , , , , , , ,

Comments are closed.