RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


TANGAZO la Zabuni Kutoka Singida Black Stars June 04-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 04/06/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

TANGAZO la Zabuni Kutoka Singida Black Stars June 04-2024

TANGAZO la Zabuni Kutoka Singida Black Stars June 04-2024

TANGAZO la Zabuni Kutoka Singida Black Stars June 04-2024

TANGAZO la Zabuni Kutoka Singida Black Stars June 04-2024, Uongozi wa Klabu ya Singida Black Stars (zamani Ihefu SC) umetangaza ZABUNI kwa kampuni yenye sifa, uzoefu na uwezo wa kufanya Uzalishaji na Usambazaji wa Vifaa vya Michezo kwa mwaka 2024/2025.

Zabuni itajumuisha kubuni, kuzalisha na kusambaza vifaa vya michezo zikiwemo jezi na vifaa vingine kwa niaba ya klabu.

VIGEZO NA MASHARTI

Muombaji wa Zabuni hii ni lazima:

  • Iwe kampuni yenye Usajili na Vigezo vya kufanya kazi za aina hii Tanzania.
  • Iwe kampuni yenye uwezo wa kuzalisha na kusambaza replica. zisizopungua 10,000 kwa msimu.
  • Iwe kampuni yenye mtandao wa Mauzo Tanzania.

Maombi yote yatumwe kwa njia ya barua pepe (email) kwenda info@singidablackstars.co.tz au ceo@singidablackstars.co.tz

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 12/06/2024 saa 6:00 usiku.

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.