RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


WACHEZAJI Walioachwa Simba na Yanga 2023/2024

Filed in Michezo, Usajili by on 18/01/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

WACHEZAJI Walioachwa Simba na Yanga 2023/2024

WACHEZAJI Walioachwa Simba na Yanga 2023/2024, Wachezaji wapya Simba 2023/2024, Wachezaji wapya Yanga SC 2023/2024, Wachezaji Walioachwa Simba SC 2023/2024, Wachezaji Walioachwa Yanga SC 2023/2024.

WACHEZAJI Walioachwa Simba na Yanga 2023/2024

WACHEZAJI Walioachwa Simba na Yanga 2023/2024, Wachezaji wapya Simba 2023/2024, Wachezaji wapya Yanga SC 2023/2024, Wachezaji Walioachwa Simba SC 2023/2024, Wachezaji Walioachwa Yanga SC 2023/2024.

Wakati dirisha dogo la Usajili Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/2024 likitarajiwa kufungwa leo Jumatatu, saa 5:59 usiku, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesisitiza kuwa hakutakuwa na muda wa ziada baada ya dirisha hilo kufungwa.

Kutokana na taarifa hiyo kutoka TFF timu zinapaswa kukamilisha usajili ndani ya muda ikiwa ni pamoja na uhamisho wa Kimataifa (ITC) kwa wachezaji wanaotoka nje ya nchi.

Kuelekea dirisha hilo kufungwa Nijuze Habari inakuletea Wachezaji ambao wameachwa na Vilabu vyao.


Yanga yaachana na Jesus Moloko

Yanga yaachana na Jesus Moloko

Klabu ya Yanga imethibitisha kufikia Makubaliano ya Kusitisha Mkataba na Kiungo Mshambuliaji, Jesus Moloko raia wa DR Congo, baada ya kuitumikia Klabu hiyo kwa misimu miwili na nusu.

Klabu ya Yanga SC imethibitisha kumtoa kwa mkopo mshambuliaji wake Hafiz Konkoni ambaye atajiunga na klabu ya Dogan Tûrk Birligi ya Cyprus.

Aidha Klabu hiyo imemtoa kwa mkopo Crispine Ngushi kwenda Coastal Union FC ya Tanga.

Katika dirisha hili dogo la usajili, mpaka sasa Yanga imekamilisha usajili wa wachezaji wawili ambao ni;

  • Shekhan Khamis kutoka JKU
  • Augustine Okrah kutoka Bechem United ya Ghana.
  • Joseph Guede Gnadou kutoka Tuzlaspor ya Uturuki.

Klabu ya Simba imeachana na wachezaji wake Sita (6), ambao ni Mshambuliaji Shaban Idd Chilunda, Kiungo Mshambuliaji Jimmyson Mwanuke, Mshambuliaji Mohammed Mussa na Kiungo Mkabaji Nassor Kapama.

Wengine ambao Simba imeachana nao Katika dirisha hili dogo la usajili 2023/2024 ni Washambuliaji Moses Phiri  na Jean Othos Baleke.

Katika dirisha hili dogo la usajili Simba imekamilisha usajili wa wachezaji watano ambao ni;

  • Ladark Chasambi kutoka Mtibwa Sugar.
  • Babacar Sarr kutoka US Monastir.
  • Saleh Karabaka kutoka JKU SC.
  • Pa Omar Jobe kutoka FC Zhenis ya Kazakhstan na;
  • Freddy Michael Kouablan kutoka Green Eagles ya Zambia.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , ,

Comments are closed.