RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


340 Waitwa Kwenye Usaili INEC Bukoba Manispaa July 18-2024

Filed in Ajira, Uncategorized by on 18/07/2024

340 Waitwa Kwenye Usaili INEC Bukoba Manispaa July 18-2024

340 Waitwa Kwenye Usaili INEC Bukoba Manispaa July 18-2024

340 Waitwa Kwenye Usaili INEC Bukoba Manispaa July 18-2024

340 Waitwa Kwenye Usaili INEC Bukoba Manispaa July 18-2024,Tangazo Kuitwa Kwenye Usaili Waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya Bayometrikiti Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba July 18-2024.

Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Bukoba Mjini anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba kazi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa tarehe 22 Julai, 2024 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Ihungo saa 1:30 asubuhi.

340 Waitwa Kwenye Usaili INEC Bukoba Manispaa July 18-2024

340 Waitwa Kwenye Usaili INEC Bukoba Manispaa July 18-2024

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-.

  • Usaili utafanyika tarehe 22 Julai, 2024 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Ihungo saa 1:30 asubuhi.
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwaajili ya utambuzi.
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na: Kitambulisho cha NIDA, Kitambulisho cha Mpiga Kura, Kitambulisho cha Mkazi, Hati ya Kusafiria, Leseni ya Udereva, na
    Barua ya Utambulisho toka Serikali ya Kijiji/Mtaa.
  • Kila Msailiwa atajigharamia Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Kila msailiwa aje na kalamu ya buluu au nyeusi kwaajili ya usaili wa maandishi
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia masharti ya tangazo husika.

Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatanishwa kwenye PDF hapa chini;

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA JIMBO LA BUKOBA MJINI

Tags:

Comments are closed.