HESBL Utaratibu wa Malipo 2024/2025
HESBL Utaratibu wa Malipo 2024/2025
HESBL Utaratibu wa Malipo 2024/2025, Heslb utaratibu wa malipo 2024/2025 deadline,Heslb utaratibu wa malipo 2024/2025,HESLB login dirisha la mkopo 2024/2025,SIPA HESLB login, HESLB news today,HESLB login my account login password,HESLB OLAMS.
Malipo ya Gharama za Chakula na Malazi, Vitabu na Viandikwa, Mahitaji Maalumu ya Kitivo, Mafunzo kwa Vitendo na Gharama za Utafiti zitalipwa moja kwa moja kwa mwanafunzi;
Wakati Ada ya Mafunzo italipwa moja kwa moja kwenye taasisi husika ya Elimu ya juu.
Malipo yote yatafanyika baada ya mnufaika kuthibitisha kwa njia itakayokuwa imeelekezwa na Taasisi husika ya Elimu ya juu kupitia akaunti za Benki zilizohakikiwa, ambazo ziliwasilishwa wakati wa kuomba Mkopo.
Ikitokea Mwanafunzi hajasaini kwa wakati, mkopo utarejeshwa HESLB baada ya siku 30 kutoka tarehe ambayo taarifa ilifikishwa chuoni na mnufaika kutaarifiwa kuhusu malipo hayo kupitia simu yake ya mkononi.
Kiasi Kilichorejeshwa hakitalipwa tena kwa mwanafunzi na hakitakuwa sehemu ya deni lake.
Aidha malipo yoyote yatakayofuata lazima athibitishwe na Chuo.
JINSI YA KUREJESHA MKOPO
Baada ya kuhitimu Masomo ya Elimu ya Juu, mnufaika wa mkopo atatakiwa
kurejesha mkopo wake wote kwa makato yasiyopungua asilimia kumi na
tano (15%) ya mshahara wake wa kila mwezi au kiwango kisichopungua TZS
100,000.00 kwa mwezi kwa mnufaika aliye kwenye sekta isiyo rasmi.
Iwapo mnufaika ataachishwa/atakatisha masomo, mkopo huo wote utalipwa kwa
mkupuo. Mikopo yote inatozwa asilimia moja (1%) ya ada ya uendeshaji kwenye
deni la msingi la mnufaika kwa mara moja.
Soma zaidi; HESLB Muongozo wa Maombi ya Mikopo 2024/2025
Tags: HESBL Utaratibu wa Malipo 2024/2025, HESLB login dirisha la mkopo 2024/2025, HESLB Login my account login password., HESLB news today, HESLB OLAMS, Heslb utaratibu wa malipo 2024/2025, Heslb utaratibu wa malipo 2024/2025 deadline, SIPA HESLB login.