RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI za Mhandisi Vifaa Tiba Mkoa wa Simiyu July 06-2024

Filed in Ajira by on 06/07/2024

NAFASI za Mhandisi Vifaa Tiba Mkoa wa Simiyu July 06-2024

NAFASI za Mhandisi Vifaa Tiba Mkoa wa Simiyu July 06-2024, Nafasi za Kazi za Mhandisi Vifaa Tiba Kutoka Mkoa wa Simiyu July 06-2024, Ajira za Kazi Mhandisi Vifaa Tiba Mkoa wa Simiyu July 06-2024.

NAFASI za Mhandisi Vifaa Tiba Mkoa wa Simiyu July 06-2024

NAFASI za Mhandisi Vifaa Tiba Mkoa wa Simiyu July 06-2024, Nafasi za Kazi za Mhandisi Vifaa Tiba Kutoka Mkoa wa Simiyu July 06-2024, Ajira za Kazi Mhandisi Vifaa Tiba Mkoa wa Simiyu July 06-2024

POST MHANDISI VIFAA TIBA DARAJA LA II (BIOMEDICAL ENGINEER II) – 1 POST
EMPLOYER Mkoa wa Simiyu
APPLICATION TIMELINE: 2024-07-06 2024-07-19
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.Kufanya kazi za matengenezo ya vifaa tiba ngazi ya Wilaya (Electronical Equipments).

ii.Kutunza kumbukumbu za kazi za ufundi na matengenezo ya vifaa tiba.

iii.Kufanya matengenezo ya kinga ya vifaa tiba.

iv.Kuagiza vipuli vya vifaa tiba.

v.Kuandaa bajeti ya huduma za matengenezo ya vifaa tiba ngazi ya wilaya.

vi.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE Kuajiriwa waliohitimu wenye Shahada ya Sayansi ya Uhandisi (Vifaa Tiba) kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Bodi ya Wahandisi Tanzania.
REMUNERATION TGHS D

Tags: , ,

Comments are closed.