NAFASI 57 za Afisa Mteknolojia July 07-2024
NAFASI 57 za Afisa Mteknolojia July 07-2024
NAFASI 57 za Afisa Mteknolojia July 07-2024,Nafasi za Kazi za Afisa Mteknolojia Kutoka Mikoa Mbalimbali Mwezi July 2024, Ajira 57 za Afisa Mteknolojia Kada ya Afya July 2024, Nafasi za Kazi za Afisa Mteknolojia Afya za Tamisemi July 07-2024.
POST AFISA MTEKNOLOJIA DARAJA LA II – MAABARA (HEALTH LABORATORY SCIENTISTS) – 57 POST
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kufanya uchunguzi wa kimaabara (Haematology, Parasitology, Picrobiology, Immunology, Blood Group Serology, Entomology, Clinical Chemistry, and Histopathology) katika Maabara za Afya na utafiti (Research laboratories).
- Kufundisha wanafunzi katika taasisi mbali mbali za Afya, masomo yanayoendana na taaluma ya Maabara.
- Kuchukukua sampuli zinazohitaji utaalam maalum na sampuli kwa ajili ya uchunguzi katika maabara nyingine za Afya na utafiti.
- Kuweka Kumbukumbu za matokeo ya vipimo katika rejesta.
- Kutunza vifaa na Vitendea kazi vya Maabara,
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya Sayansi ya Maabara za Afya kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na kusajiliwa kwa usajili wa kudumu (Full Registration Practitioners) na Baraza la Madaktari Tanganyika.
NAFASI 57 za Afisa Mteknolojia July 07-2024
POST: AFISA MTEKNOLOJIA DARAJA LA II – MAABARA (HEALTH LABORATORY SCIENTISTS) – 7 POST Employer: Mkoa wa Singida More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: AFISA MTEKNOLOJIA DARAJA LA II – MAABARA (HEALTH LABORATORY SCIENTISTS) – 1 POST Employer: Mkoa wa Songwe More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: AFISA MTEKNOLOJIA DARAJA LA II – MAABARA (HEALTH LABORATORY SCIENTISTS) – 1 POST Employer: Mkoa wa Tabora More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: AFISA MTEKNOLOJIA DARAJA LA II – MAABARA (HEALTH LABORATORY SCIENTISTS) – 5 POST Employer: Mkoa wa Tanga More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
Tags: Ajira 57 za Afisa Mteknolojia Kada ya Afya July 2024, NAFASI 57 za Afisa Mteknolojia July 07-2024, Nafasi za Kazi za Afisa Mteknolojia Afya za Tamisemi July 07-2024., Nafasi za Kazi za Afisa Mteknolojia Kutoka Mikoa Mbalimbali Mwezi July 2024