NAFASI 111 za Daktari wa Upasuaji wa Kinywa na Meno July 07-2024
NAFASI 111 za Daktari wa Upasuaji wa Kinywa na Meno July 07-2024
NAFASI 111 za Daktari wa Upasuaji wa Kinywa na Meno July 07-2024,Nafasi za Kazi za Daktari wa Upasuaji wa Kinywa na Meno Kutoka Mikoa Mbalimbali Mwezi July 2024, Ajira 111 za Daktari wa Upasuaji wa Kinywa na Meno Kada ya Afya July 2024, Nafasi za Kazi za Daktari wa Upasuaji wa Kinywa na Meno Kutoka Tamisemi July 07-2024.
POST DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 111 POST
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa ya kinywa na meno.
- Kutoa na kusimamia elimu ya afya ya kinywa na meno.
- Kuboresha afya ya kinywa na meno katika eneo lake la kazi na jamii.
- Kuziba/kukarabati meno, upasuaji, utengenezaji wa meno, kurekebisha mataya (orthodontics).
- Kusimamia wafanyakazi walio chini yake.
- Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa.
- Kufundisha wanafunzi katika vyuo vya afya vilivyopo eneo lake la kazi.
- Kubuni na kuendesha utafiti na kusambaza matokeo.
- Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake.
- Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya ya kinywa na meno.
- Kushiriki, kuhakiki na kuboresha huduma za afya.
- Kutoa huduma za outreach katika wilaya/mkoa wake.
- Kutunza takwimu na kuzitumia kama inavyoelekezwa katika misingi ya MTUHA.
- Kupanga na kutathimini huduma za afya ya kinywa na meno katika eneo la kazi.
- Kufanya utafiti katika maeneo mbali mbali ya afya ya kinywa na meno.
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye shahada ya udaktari wa upasuaji wa kinywa na meno kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali waliomaliza “Internship” na kusajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika.
NAFASI 111 za Daktari wa Upasuaji wa Kinywa na Meno July 07-2024
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 1 POST Employer: Mkoa wa Arusha More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 2 POST Employer: Mkoa wa Dar es Salaam More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 5 POST Employer: Mkoa wa Dodoma More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 5 POST Employer: Mkoa wa Geita More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 3 POST Employer: Mkoa wa Iringa More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 23 POST Employer: Mkoa wa Kagera More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 4 POST Employer: Mkoa wa Katavi More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 5 POST Employer: Mkoa wa Kigoma More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 4 POST Employer: Mkoa wa Kilimanjaro More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 9 POST Employer: Mkoa wa Lindi More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 2 POST Employer: Mkoa wa Manyara More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 1 POST Employer: Mkoa wa Mara More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 3 POST Employer: Mkoa wa Mbeya More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 3 POST Employer: Mkoa wa Morogoro More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 2 POST Employer: Mkoa wa Mtwara More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 5 POST Employer: Mkoa wa Mwanza More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 3 POST Employer: Mkoa wa Njombe More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 3 POST Employer: Mkoa wa Pwani More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 8 POST Employer: Mkoa wa Ruvuma More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 3 POST Employer: Mkoa wa Shinyanga More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 6 POST Employer: Mkoa wa Simiyu More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 1 POST Employer: Mkoa wa Singida More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 2 POST Employer: Mkoa wa Songwe More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 7 POST Employer: Mkoa wa Tabora More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 1 POST Employer: Mkoa wa Tanga More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
Tags: Ajira 111 za Daktari wa Upasuaji wa Kinywa na Meno Kada ya Afya July 2024, NAFASI 111 za Daktari wa Upasuaji wa Kinywa na Meno July 07-2024, Nafasi za Kazi za Daktari wa Upasuaji wa Kinywa na Meno Kutoka Mikoa Mbalimbali Mwezi July 2024, Nafasi za Kazi za Daktari wa Upasuaji wa Kinywa na Meno Kutoka Tamisemi July 07-2024.