RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

Freddy Michael Kouablan Mshambuliaji Mpya Simba 2024

Filed in Michezo, Usajili by on 17/01/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

Freddy Michael Kouablan Mshambuliaji Mpya Simba 2024

Freddy Michael Kouablan Mshambuliaji Mpya Simba 2024, Usajili Mpya Simba 2023/2024, Wachezaji wapya wa Simba 2024, Simba yamsajili Mshambuliaji Mpya kutoka Ivory Coast, Freddy Michael Kouablan Mnyama.

Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa Mshambuliaji, Freddy Michael Kouablan raia wa Ivory Coast mwenye miaka 26 kutoka klabu ya Green Eagles ya Zambia Kwa mkataba wa miaka miwili.

Hadi sasa Freddy ndiye anaongoza kwa Ufungaji kwenye Ligi Kuu ya Zambia kwa kuweka kambani magoli 14 na assist 4.

Freddy anakuwa mchezaji wa tatu wa Kimataifa wa Simba kusajiliwa katika dirisha hili la usajili baada ya Babacar Sarr aliyesajiliwa kutoka US Monastir ya Tunisia na Pa Omar Jobe raia wa Gambia kutoka FC Zhenis inayoshiriki Ligi Kuu nchini Kazakhstan.

Wachezaji wengine walisajiliwa na Simba katika dirisha hili dogo la usajili 2023/2024 ni Salehe Karabaka kutoka JKU SC na Ladack Chasambi kutoka Mtibwa Sugar FC.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , ,

Comments are closed.