RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


WANAFUNZI 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024

Filed in Michezo, NECTA by on 26/01/2024

WANAFUNZI 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024

WANAFUNZI 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024,Matokeo ya Kidato cha nne 2024, Matokeo ya kidato cha nne 2024 download, Shule kumi bora kidato cha nne 2023, Matokeo ya kidato cha nne 2024 tanzania live, Matokeo ya kidato cha nne 2023/2024 date, Shule ishirini bora za sekondari,Matokeo ya kidato cha nne 2023 PDF.

WANAFUNZI 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024

WANAFUNZI 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024,Matokeo ya Kidato cha nne 2024, Matokeo ya kidato cha nne 2024 download, Shule kumi bora kidato cha nne 2023, Matokeo ya kidato cha nne 2024 tanzania live, Matokeo ya kidato cha nne 2023/2024 date, Shule ishirini bora za sekondari,Matokeo ya kidato cha nne 2023 PDF.

Baada ya Matokeo ya Kidato Cha Nne mwaka 2023 kutangazwa kupitia Nijuze Habari unaweza kupata orodha ya Wanafunzi kumi Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023.
Mbali na Wanafunzi Kumi bora pia unaweza kupata Shule Kumi Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne Kwa Mwaka 2023.
Matokeo ya CSEE ni muhimu sana kwa maendeleo ya mchakato wa Elimu nchini Tanzania kwani yalitoa nafasi ya kutathminiwa kwa mfumo wa Elimu katika Ngazi tatu.
Hii ni orodha ya Wanafunzi Kumi Bora kwa Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2022/2023.
  1. Consolata Prosper Luguva – St. Francis Mbeya
  2. Butoi Ernest Kangaza – St. Francis
  3. Wllhemia Steven – St. Francis
  4. Cronel John – St Francis
  5. Merry George Ngoso – St Francis
  6. Holly Beda Lyimo – Bright Future Girls
  7. Brandina – St. Francis
  8. Imamu Suleiman – Feza Boys
  9. Mfalme Hamis Madili – llboru
  10. Clara Straton – St. Francis

Orodha Kamili ya Wanafunzi 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024 tutaiwekea hapa hivi Punde.

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Taifa wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 2023, yakionyesha kuongezeka kwa ufaulu wa watahiniwa kwa asilimia 0.87 na ufaulu wa hisabati ukipanda kuliko masomo yote.

Mbali na kuongeza kwa kiwango cha ufaulu, ubora wa ufaulu kwa daraja la kwanza hadi la tatu nacho kimeongezeka kwa asilimia 0.47 ikilinganishwa na ilivyokuwa mwaka 2022.

WANAFUNZI 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024,Matokeo ya Kidato cha nne 2024, Matokeo ya kidato cha nne 2024 download, Shule kumi bora kidato cha nne 2023, Matokeo ya kidato cha nne 2024 tanzania live, Matokeo ya kidato cha nne 2023/2024 date, Shule ishirini bora za sekondari,Matokeo ya kidato cha nne 2023 PDF.Shule 50 bora za sekondari Tanzania,
Matokeo ya kidato cha nne 2023 necta form four, Shule 20 bora kidato cha nne 2023, Shule 10 Bora kitaifa 2023 Kidato Cha Nne, Matokeo ya Kidato cha nne 2023 Tanzania bara leo.

Akitangaza matokeo hayo leo jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa Necta Dk Said Mohamed amesema asilimia 37.42 ya watahiniwa wamepata daraja la kwanza hadi la tatu ikilinganishwa na asilimia 36.95 waliopata madaraja hayo mwaka 2022.

“Jumla ya watahiniwa wa shule 471,427 kati ya 527,576 wenye matokeo ambao ni sawa na asilimia 89.36 wamefaulu kwa kupata daraja la kwanza hadi la nne. Waliopata daraja la kwanza hadi la tatu ni asilimia 37.42,” amesema Dk Mohamed.

 

Kwenye upande wa masomo, licha ya hisabati kuendelea kuwa chini ya wastani, kiwango cha ufaulu kwa somo hilo kimepanda kuliko masomo yote ambapo takwimu zinaonesha ufaulu umeongezeka kwa asilimia 5.34. Mwaka 2022 ufaulu wa somo hilo ulikuwa asilimia 20.08.

Somo la Kiswahili ufaulu wake umeendelea kupanda ambapo asilimia 96.80 ya watahiniwa waliofanya mtihani huo wamefaulu.

“Wanafunzi waliopata daraja A hadi C kwenye Kiswahili ni asilimia 74.39, ufaulu wa watahiniwa waliopata A na B umeongezeka kwa asilimia 1.54,” amesema Dk Mohamed. Mwaka 2022 ufaulu wa jumla wa somo hilo ulikuwa 95.58.

Ufaulu kwa masomo mengine kulinganisha na mwaka 2022 ni kama ifuatavyo: uraia 70.04 kutoka 2022 67.83, historia 62.01 kutoka asilimia 63.20, jiografia 66.10 kutoka asilimia 64.32, Kiingereza 68.72 kutoka asilimia 69.09.

Masomo mengine ni fizikia kutoka 71.85 kutoka asilimia 68.34, kemia 96.14 kutoka asilimia 93.68 na biolojia 70.09 kutoka asilimia 67.84

Kwa upande wa watahiniwa wa kujitegemea ufaulu wao umepungua kwa asilimia 15.90 ikilinganishwa na mwaka 2022.

Matokeo hayo yameonesha watahiniwa wa kujitegemea waliofaulu ni 13,396 sawa na asilimia 52.44 wakati mwaka 2022 watahiniwa wa kujitegemea waliofaulu walikuwa 19,475 sawa na asilimia 68.34.

MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2023

MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2023

Matokeo ya kidato cha nne Mkoa wa Dar es Salaam, Matokeo ya Kidato cha nne 2023/2024 date, Matokeo ya Kidato cha nne 2022/23, Matokeo ya kidato cha nne 2023 24 tanzania, Matokeo ya Kidato cha nne 2023 PDF, Matokeo ya Kidato cha Nne 2023/2024 Download.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , ,

Comments are closed.