RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

JINSI ya Kuandika Barua ya Kuomba Passport ya Kusafiria

Filed in Makala by on 14/07/2024

JINSI ya Kuandika Barua ya Kuomba Passport ya Kusafiria

JINSI ya Kuandika Barua ya Kuomba Passport ya Kusafiria, Naomba sample ya barua ya mwaliko ili niombe valid passport, PDF mwongozo wa huduma ya pasipoti na hati za kusafiria, PDFombi la pasipoti picha ya mwombaji,Tanzania Immigration Department,  Tanzania Passport Application,Barua Ya Passport | PDF.

PASIPOTI NI NINI?
Ni hati inayotolewa na serikali ili kumuwezesha raia wake kusafiri nje ya mipaka ya nchi kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi anayokwenda au kupitia.
Licha ya kuwa pasipoti hutolewa kwa jina na maelezo ya mwombaji, hati hiyo hubaki ni mali ya serikali.
AINA ZA PASIPOTI NA HATI NYINGINE ZA KUSAFIRIA PAMOJA NA GHARAMA ZAKE
1.Pasipoti ya kawaida (Sh.50,000/=)
2.Pasipoti ya Utumishi (Sh. 50,000/=)
3.Pasipoti ya Kibalozi (Sh. 50,000/=)
4.Pasipoti ya Afrika Mashariki (Sh. 15,000/=)
5.Shahada ya Dharura (Sh. 10,000/=)
6.Cheti cha Utambulisho (Certificate of Identity, Sh. 10,000/=)
7.Hati ya Wakimbizi (Geneva Convention Travel Document, Sh. 20,000/=)
Hapa tumekuandalia Utaratibu na Jinsi ya kuandika Barua ya Kuomba Passport ya Kusafiria

JINSI ya Kuandika Barua ya Kuomba Passport ya Kusafiria Download PDF

JINSI ya Kuandika Barua ya Kuomba Passport ya Kusafiria

HATI NYINGINEZO ZINAZOPASWA KUAMBATISHWA KWENYE OMBI

(A) SAFARI ZA BINAFSI

  • Uthibitisho wa Shughuli za Mwombaji
  • Barua ya Mwaliko au
  • Tiketi ya Kwenda na Kurudi
  • Idhini ya Mzazi/Mlezi halali kwa Mwombaji Chini ya Miaka 18
  • Idhini ya Mwajiri kwa Waajiriwa
  • Barua ya Ofisa Mtendaji Kata/ Sheha kwa Wasioajiriwa

(B) SAFARI ZA KIKAZI, MIKUTANO, TAMASHA NA KADHALIKA

  • Barua ya Mwajiri/Kampuni/Shirika
  • Barua ya Mwaliko
  • Kitambulisho cha Mwombaji

(C) SAFARI ZA MASOMO

  • Barua ya wito wa Shule/Chuo
  • Vyeti vya Shule/Chuo
  • Barua ya Mdhamini wa Masomo
  • Uthibitisho wa Malipo kwa Wanaojitegemea.
  • Idhini ya Mwajiri kwa Walioajiriwa
  • Idhini ya Mzazi/Mlezi halali kwa
  • Mwombaji chini ya miaka 18

(D) SAFARI ZA MATIBABU

  • Barua kutoka kwa Daktari Mkuu wa Serikali au
  • Uthibitisho wa Daktari aliyesajiliwa au
  • Barua ya idhini kutoka Wizara ya Afya

(E) SAFARI ZA BIASHARA

  • Hati iliyo hai ya Biashara
  • Tiketi ya kwenda na kurudi

(F) SAFARI ZA AJIRA

  • Uthibitisho wa barua ya Ajira/Mkataba wa Kazi au
  • Tiketi ya kwenda na kurudi
  • Barua ya Ofisa Mtendaji Kata/ Sheha wa sehemu anayoishi mwombaji

(G) SAFARI ZA MICHEZO

  • Barua kutoka TFF au ZFA au
  • Barua kutoka Chama chochote kilichosajiliwa rasmi kulingana na aina ya michezo na
  • Barua ya Mwaliko

(H) SAFARI ZA KIDINI

  • Barua ya Mwaliko
  • Barua ya Dhehebu linalohusika

(I) SAFARI ZA MABAHARIA

  • Mkataba wa Kazi au
  • Kitambulisho cha Ubaharia au
  • Vyeti vya Ujuzi au
  • Barua kutoka Chama cha Mabaharia

TAHADHARI:

Mwombaji anaonywa kwamba iwapo itathibitika kwamba maelezo aliyotoa ni ya uongo, hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.

Malipo unayotoa unapochukua fomu hayatarejeshwa iwapo ombi lako halitakubalika.

MAELEZO MUHIMU

HATI ZA KUTOLEWA

  • Cheti cha Kuzaliwa au Kiapo cha Kuzaliwa cha Mwombaji.
  • Cheti cha Kuzaliwa au Kiapo cha Kuzaliwa cha Mmoja wa Wazazi wa Mwombaji.
  • Ushahidi wa Uraia wa Mmoja wa Wazazi
  • Cheti cha Uraia kwa waliopata Uraia kwa Tarijisi.
  • Cheti au Kiapo cha Ndoa kwa Wanawake walioolewa na wanaotaka kubadilisha majina.

SHUHUDA KWA MWOMBAJI

Ombi lazima lishuhudiwe katika kifungu cha 6 na mmoja wa hawa; Jaji, Kabidhi Wasii, Hakimu,Wakili/Kamishna wa Viapo, akiwa yeye mwenyewe ni raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Shuhuda anatakiwa aandike nyuma ya nakala moja ya picha ya mwombaji maneno haya.

  • ‘NASHUHUDIA KWAMBA PICHA HII NI SURA YA BWANA/BIBI/BI ……………na
    kuweka saini yake na muhuri.
  • Picha
  • Mwombaji anatakiwa kuleta nakala tano (5) za picha (Pasipoti) zenye rangi ya bluu bahari.
  • Mwanamke aliyekuwa na pasipoti kabla ya kuolewa anaweza kupata pasipoti nyingine mpya
    ikiwa yeye mwenyewe atataka.

VIELELEZO VYA ZIADA VINAVYOTAKIWA KUAMBATANA NA OMBI HILI
ANGALIA UKURASA WA 4.

HATI NYINGINEZO ZINAZOPASWA KUAMBATISHWA KWENYE OMBI

(A) SAFARI ZA BINAFSI

  • Uthibitisho wa Shughuli za Mwombaji
  • Barua ya Mwaliko au
  • Tiketi ya Kwenda na Kurudi
  • Idhini ya Mzazi/Mlezi halali kwa Mwombaji Chini ya Miaka 18
  • Idhini ya Mwajiri kwa Waajiriwa
  • Barua ya Ofisa Mtendaji Kata/ Sheha kwa Wasioajiriwa

(B) SAFARI ZA KIKAZI, MIKUTANO, TAMASHA NA KADHALIKA

  • Barua ya Mwajiri/Kampuni/Shirika
  • Barua ya Mwaliko
  • Kitambulisho cha Mwombaji

(C) SAFARI ZA MASOMO

  1. Barua ya wito wa Shule/Chuo
  2. Vyeti vya Shule/Chuo
  3. Barua ya Mdhamini wa Masomo
  4. Uthibitisho wa Malipo kwa Wanaojitegemea
  5. Idhini ya Mwajiri kwa Walioajiriwa
  6. Idhini ya Mzazi/Mlezi halali kwa Mwombaji chini ya miaka 18

(D) SAFARI ZA MATIBABU

  • Barua kutoka kwa Daktari Mkuu wa Serikali au
  • Uthibitisho wa Daktari aliyesajiliwa au
  • Barua ya idhini kutoka Wizara ya Afya

(E) SAFARI ZA BIASHARA

  • Hati iliyo hai ya Biashara
  • Tiketi ya kwenda na kurudi

(F) SAFARI ZA AJIRA

  • Uthibitisho wa barua ya Ajira/Mkataba wa Kazi au
  • Tiketi ya kwenda na kurudi
  • Barua ya Ofisa Mtendaji Kata/ Sheha wa sehemu anayoishi mwombaji

(G) SAFARI ZA MICHEZO

  • Barua kutoka TFF au ZFA au
  • Barua kutoka Chama chochote kilichosajiliwa rasmi kulingana na aina ya michezo na
  • Barua ya Mwaliko

(H) SAFARI ZA KIDINI

  • Barua ya Mwaliko
  • Barua ya Dhehebu linalohusika

(I) SAFARI ZA MABAHARIA

  • Mkataba wa Kazi au
  • Kitambulisho cha Ubaharia au
  • Vyeti vya Ujuzi au
  • Barua kutoka Chama cha Mabaharia

Tags: , , , , , ,

Comments are closed.