RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI za Kazi Kutoka Jeshi la Polisi Tanzania May 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 26/05/2024

NAFASI za Kazi Kutoka Jeshi la Polisi Tanzania May 2024

NAFASI za Kazi Kutoka Jeshi la Polisi Tanzania May 2024,Majina ya waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi 2024, Ajira za Jeshi la Polisi Tanzania 2024, AJIRA MPYA KUTOKA JESHI LA POLISI MAY 2024,Jinsi ya kujiunga na jeshi la polisi Tanzania Anuani ya jeshi la polisi,tanzania,www.polisi.go.tz ajira,Jeshi la Polisi Tanzania, AJIRA 2024, Tangazo la Ajira Polisi 2023/2024,Vyeo vya jeshi la polisi tanzania, www.polisi.go.tz 2024,Historia ya jeshi la polisi tanzania,Tanzania Police Force official website,Tanzania Police Force contact details, Mkuu wa jeshi la polisi tanzania.

NAFASI za Kazi Kutoka Jeshi la Polisi Tanzania May 2024,Majina ya waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi 2024, Ajira za Jeshi la Polisi Tanzania 2024, AJIRA MPYA KUTOKA JESHI LA POLISI MAY 2024.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana
wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na
Kidato cha nne.

SIFA ZA MUOMBAJI

  • Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa.
  • Awe amehitimu kidato cha nne au sita kuanzia mwaka 2018 hadi 2023.
  • Kwa waombaji wa kidato cha nne na sita pamoja na wenye Astashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25.
  • Kwa waombaji wa kidato cha nne wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la nne (Division I – IV). Kwa waombaji wenye ufaulu wa daraja la nne (Division IV) wawe na ufaulu wa alama (Point) 26 hadi 28.
  • Kwa waombaji wa kidato cha sita wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la tatu (Division I – III)
  • Wahitimu wa Shahada na Stashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 30.
  • Awe na urefu usiopunguwa futi tano na inchi nane (5’8”) kwa wanaume, na futi tano inchi nne (5’4”) kwa wanawake.
  • Awe na kitambulisho cha taifa au namba ya utambulisho kutoka mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA).
  • Awe na uwezo wa kuongea lugha ya Kiswahili na Kingereza.
  • Awe na afya njema kimwili na kiakili iliyothibitishwa na daktari wa Serikali.
  • Awe hajaoa/kuolewa au kuwa na mtoto.
  • Awe hajawahi kutumia dawa za kulevya.
  • Awe tayari kuhudhuria mafunzo ya awali ya taaluma ya Polisi.
  • Awe hajaajiriwa au hajawahi kuajiriwa na taasisi nyingine ya Serikali.
  • Awe tayari kufanya kazi za Polisi mahali popote Tanzania.
  • Awe tayari kujigharamia katika hatua zote za usaili endapo ataitwa kwenye usaili.
  • Asiwe na alama za kuchorwa mwilini (tattoo).
  • Asiwe na kumbukumbu za uhalifu.
  • Kwa waombaji wenye elimu ya kiwango cha Shahada (NTA level 8),
    Stashahada (NTA level 6) na Astashahada (NTA Level 5 au NVA Level 3) wanatakiwa wawe na fani zilizoainishwa kwenye tangazo hili.
  • JINSI ya Kutuma Maombi Ajira za Jeshi la Polisi Tanzania

NAFASI za Kazi Kutoka Jeshi la Polisi Tanzania May 2024

UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI

  • Waombaji wote wanatakiwa waandike barua za maombi wao wenyewe kwa mkono (Handwriting) bila kusahau namba za simu na watumie anuani ya
    Mkuu wa Jeshi la Polisi S.L.P 961 DODOMA.
  • Waombaji wote wafanye maombi yao kupitia kwenye mfumo wa Ajira wa Polisi (TANZANIA POLICE FORCE – RECRUITMENT PORTAL)
    unaopatikana kwenye tovuti ya Jeshi la Polisi ajira.tpf.go.tz

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 26/05/2024

DONWLOAD PDF DOCUMENT HAPA

Jinsi ya kujiunga na jeshi la polisi tanzania 2024, Vyeo vya jeshi la polisi tanzania, Anuani ya jeshi LA polisi tanzania, Mfumo wa ajira jeshi la polisi tanzania, www.polisi.go.tz ajira 2024, Www polisi go tz ajira login,Jeshi La polisi tanzania ajira 2024, Historia ya jeshi LA polisi tanzania,www.polisi.go.tz ajira,Majina ya waliochaguliwa kujiunga na jeshi la polisi Tanzania,Jinsi ya kujiunga na jeshi la polisi Tanzania, Mkuu wa jeshi la Polisi tanzania.

Historia ya Jeshi la Polisi Tanzania

Jeshi la Polisi la Tanzania lilianzishwa rasmi 25 August 1919 kwa tangazo la Serikaliya Kiingereza lililotoka Gazeti la Serikali No.Vol.1 No.21-2583 kwa wakati huo likaitwa Jeshi la Polisi Tanganyika.

Lakini jeshi lilianzishwa kisheria kwa Sheria ya uanzishajiwa Jeshi la Polisi ya mwaka 1939 (THE POLICE FORCE AND AUXILIARY SERVICES ACT OF 1939) PRINCIPAL LEGISLATION.

Sheria hii ndiyo inatumika hadi sasa japo imekua ikifanyiwa marekebisho ya mara kwa mara.

Tanganyika Police during colonial rule

Makao Makuu ya Jeshi hilo kulinga na natangazo hilo yalikuwa Wilayani Lushoto Mkoani Tanga chini ya uongozi wa Major S.T Davis.

Tanganyika Police during colonial rule

Baadae Mwaka 1921 Kundi la Wakaguzi Polisi kutoka Ulaya lilifika nchini Tanganyika na kuanzisha Shule ya Mafunzo maalumu ya upolisi huko Mkoani Morogoro ilikukidhi mahitaji yao na kuwa na Askari wenye weledi wakutosha. Pamoja na kuwa na Askari weusi waliofuzu mafunzo lakini bado Askari hao walibaki na vyeo vya chini vya Kipolisi kwani vyeo vya juu vyote walipewa Askari Wazungu.

Jeshi la Polisi la kikoloni lilikuwa na Wanaume pekeyao, hakuna mwanamke aliyepewa nafasi ya kujiungana Jeshi, siyotukwa Watanganyika hata Askari waki koloni wote walikuwa wanaume.

Mafunzo yalilenga kumpa Askari mbinu za kumkandamiza Mwafrika, kuwaminisha kuwa kila walichosema wakoloni ndicho sahihi, ukandamizaji na udhalilishaji kwa Mwafrika ulikuwa mkubwa na ndiyo ilichukua sehemu kubwa ya mafunzo kwa Askari wa Kikoloni.

Askari walifundishwa utii kwa viongozi wakikoloni na ukatili dhidi ya waafrika hasa viongozi wa kikoloni pamoja na machifu. Lengo lilikuwa ni kumtawala Mtanganyika kirahisi.

Watanganyika alitumia silaha za jadi kukabiliana na Askari wa kikoloni, silaha hizo zilikuwa marungu, panga, mikuki, na mishale, pamoja na silaha zilizotengenezwa kwa mawe yaliyochongwa vyema.

Tanganyika Police during colonial rule
1925 : Kuanzishwa kwa kituo cha kwanza cha Polisi (Lupa, Tingatinga Mbeya)

Wakoloni waliona ni vyema waanzishe vituo vingi vya Polisi na mwaka 1925 Kituo cha kwanza rasmi cha Polisi nchini kilifunguliwa huko Lupa, Tingatinga Mbeya.

Early Tanganyika Police Uniform

Mwaka 1930 Makao Makuu ya Polisi yalihamishwa kutoka Lushoto Mkoani Tanga kwenda Dar es Salaam. Lengo lilikuwa kuwa na ngome imara ambayo ilisimamia utendaji wa vituo vingine vyote vya Polisi, mawasiliano na maelekezo ya nini kifanyike vituoni yalitolewa kila siku kwa vituo vyote vya Polisi. Radio na barua za kipolisi zilitumika kufikisha ujumbe vikosini.

Tanganyika Police during colonial rule

Baadaye Mwaka 1949 kikosi cha kutulizaghasia, Motorized Company sasa Field Force Unit (F.F.U) kilianzishwa nchini na lengo la kikosi hicho ni kurejesha amani penye vurugu.
Vijana wa kitanganyika walianza kupinga ukandamizaji wa Mkoloni dhidi yao, vijana hao waliongozwa na baadhi ya Askari waliotoka katika vita ya kwanza na ya pili ya Dunia. Hivyo basi iliwalazimu wakoloni kuanzisha kikosi maalum cha kutulizaghasia, pia mwaka huo wa 1949 kwa kuzingatia weledi, Vijana mbalimbali wa Kiafrika kutoka shule mbalimbali za Sekondari Tanganyika walichaguliwa kujiungana Jeshi la Polisi na kuwa Wakaguzi wa Polisi chini ya uangalizi wa muda maalum (Probation Inspectors).

A Police Officer from Motorized Company Unit during colonial rule

Mwaka 1952  Kikosi maalum cha Mawasiliano (Signals Branch) kilianzishwa Polisi bila kutumia nyaya za simu. Lengo la kikosi hicho ni kuhakikisha Jeshi la Polisi linawasiliana muda wote. Mawasiliano yalisaidia kutoa na kusamba za taarifa kwa haraka zaidi na utekelezaji wake kufanyika na mwaka huo pia Askari wa kike (Women Police) walijiunga na Jeshi la Polisi chini ya uongozi wa Ms. Payee. Ms. Payee ndiye alikuwa kiongozi wa askari wa kike kwa kipindi hicho.

Mara tu baada ya Tanganyika kupata uhuru wake tarehe 9 Desemba 1961, Jeshi la Polisi lilianza kubadili mwelekeo wake kutoka katika kutumikia Wakoloni na kuanza kuwatumikia wananchi kwa mujibu wa sera za Serikali ya Wananchi wa Tanganyika japo bado lilikuwa na mfumo wa kikoloni. Ilichukua muda kulibadilisha na kulifanya Jeshi la Polisi liwe la kumlinda Mtanganyika na mali zake.

1964 – Hadi sasa : Mabadiliko ya Jeshi kutoka Tanganyika Police kuwa Tanzania Police Force (TPF)

Tags: , , , ,

Comments (109)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Naipenda kazi ya polisi

  2. Link haikubali kufnguka tafadhali msaada wenu viongozi

  3. Dominic Wilfred Dotto says:

    KUOMBA NAFASI YA AJIRA KATIKA KAZI YA JESHI LA POLISI TANZANIA

  4. Naipenda sana kazi uasikali polic

  5. Maua says:

    Naipenda sana kazi ya polisi

  6. Deogratiasi says:

    Napenda Kazi ya kuwa askar polsi

  7. Fahihyu nasibu abdallah says:

    Napenda kujiunga na police

  8. Naipenda sana kaz ta police na nachukia sana uhalifu napenda kuona nchi yangu ina aman mda wote

  9. Aziza says:

    Yaan system hii unasumbua sana kila nikijaribu kuapply inanisumbua, lakini nahitaji nafasi katika Jeshi la polis la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania

  10. Naipenda sana kazi ya police, naipenda nchi yangu

  11. EVARISTO JOHN SANGA says:

    Naipenda kazi ya polisi nipo tayari kuitumikia mahali popote

  12. AYUBU ANTHONY TENZA says:

    Mfumo wa maombi ulkua mzito saana sijui ni network au website ilikua busy saana kulingana na Watu kuingia kwa wingi, Ila kwa niaba ya wote walio fanya jitihada ya kutuma maombi lakini mpaka deadline inafka bila kufanikiwa it’s too much sadness, Ila tusikate tamaa maana amna namna nyingne tena ya kusaidika kuhusu maombi yetu but Inshallah Mwenyezi Mungu atafanya njia kwa wakati mwingne 🙏🏻

  13. Makosho mwijarubi kafumu says:

    Wametangaza ajira lakini hakuna mafanikio yoyote

  14. Makosho mwijarubi kafumu says:

    Nahaidikuwa nikipata nafasi ya kulitumikia taifa langu la Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 nitakuwa mfano zaidi ya waliopita katika Jeshi la polisi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 sisi tulioko mitaani ndo tunajua wapi Kuna shida tupeni nafasi hizo tunaomba muda uongezwe tena 💪💪💪💪💪💪

  15. Naipenda kazi ya polisi

  16. Maximillian says:

    Maximillian peter kilatsa
    S.l.p 443
    Buhigwe
    24.05.2024

    Ndg:
    Yah;ombi la nafasi za jeshi la polisi
    Naitwa maximillian peter mtanzania wa kuzaliwa,elimu yangu ni muhudumu wa afya ngazi ya jamii nje ya ajila nimependa kuomba nafasi hii kwa ajili ya kulinda raia na mali zao.asante
    M.p.kilatsa
    Maximillian peter kilatsa
    0744676874
    mwombaji

  17. Hussein Nuhu hassan says:

    Mimi nikijana nilie hitimu kidato cha sita nakupenda kazi ya upolisi toka nilipo zaliwa naomba niwe miongon mwa watakao chaguliwa

  18. Moureen Deogratius Munishi says:

    I love much police job all is because i dislike some of corruption which still they take place behind the scene and i swear in the name of Allah and my belovely country tanzania when i become a police womani will fight against All that without no fear or wat people a talking about i will forever stand for my country and die for it as a hero girl🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️

  19. jaman hivi mfumo umetulia au ni huku tu nliko?

  20. tujuzane wakuu kama mfumo umetulia wa kuomba ajira jeshi la polisi may2024

  21. Napenda kupata taarifa juu ya maombi tuliyokwisha tuma kwa tayari dirisha limefungwa

  22. Jinsi ya kuagalia mfumo wangu

  23. Napenda kuwa askari police

  24. nordson kelvin says:

    Napenda kulinda amani ya taifa langu pendwa la TANZANIA

  25. Shukrani Daniel masanja says:

    Naipenda kazi ya jeshi la police

  26. Naipend san kaz hiii maan napenda kuitumikia nchi yang na kuilind wapend aman mpoooo

  27. Naipenda kazi ya jeshi la police naomb kupata kazi katika jeshi la police 0713935701

  28. Maombi ya nafasi yajeshi la kujenga taifa naahidi kuwa mtiifu kwenye kazi hiyo

  29. Wako katika ujenzi was taifa
    Naamini katika kazi ya polisi Nina weza kupambana nakila uhalifu .

    .

  30. Nyanda cosmas manyirizu says:

    Mimi napenda sana kulinda nchi yangu Tanzania pendwa Kwa kuepuka rushwa na kusimamia haki za binadamu kikamilifu bila kuiangusha nchi yetu yenye upendo na amani hivyo bas kuepuka tu rushwa Hilo Mimi naweza simamia kwasababu nasomea international Relations and Diplomacy . KAZI ya upolisi naipenda sana.

  31. Edward martin kivutwe says:

    Amani na umoja katika kulijenga taifa la tanzania nipo tayari kuirida amani ya taifa langu katika hali yoyote ile naomba nafasi asanteni
    0713540119

  32. Edward martin kivutwe says:

    Amani na umoja katika kulijenga taifa la tanzania nipo tayari kuirinda amani ya taifa langu katika hali yoyote ile naomba nafasi ya kujiunga na jeshi la polisi tanzania elimu yangu ni kidato cha sita asanteni
    0713540119

  33. Naipenda sana kazi ya police naomba nafsi ya kujiunga na jeshi la police ili niweze kutumika nchi yangu na kutetea haki za wanyonge Amina elimu yangu ni kidato cha nne

  34. naipenda sana kazi ya police jaman

  35. Yakob says:

    Naipenda sana kazi ya police but naomba nafasi zitolewe tena