RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


BMT yaridhia Mabadiliko ya Katiba Simba

Filed in Michezo by on 18/01/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

BMT yaridhia Mabadiliko ya Katiba Simba

BMT yaridhia Mabadiliko ya Katiba Simba, Katiba Mpya Simba, BMT Tanzania, BMT yaridhia rasimu ya Katiba ya Simba, Mabadiliko ya Katiba Simba SC.

BMT yaridhia Mabadiliko ya Katiba Simba

BMT yaridhia Mabadiliko ya Katiba Simba, Katiba Mpya Simba, BMT Tanzania, BMT yaridhia rasimu ya Katiba ya Simba, Mabadiliko ya Katiba Simba SC.

Baada ya Mvutano wa miaka kadhaa hatimaye Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limeridhia rasimu ya Katiba ya klabu ya Simba ikiwa ni hatua muhimu kuelekea kukamilika kwa mchakato wa Mabadiliko uliochukua takribani Miaka Mitano.

Akizungumza katika Mkutano na Wanahabari mapema leo, Mwenyekiti wa kamati ya Katiba na Sheria wa Simba, Hussein Kitta amesema kuwa kamati yake imepokea barua kutoka BMT ikieleza kuridhishwa na yale yaliyopitishwa katika rasimu ya Katiba baada ya kufanyiwa Marekebisho.

BMT yaridhia Mabadiliko ya Katiba Simba, Katiba Mpya Simba, BMT Tanzania, BMT yaridhia rasimu ya Katiba ya Simba, Mabadiliko ya Katiba Simba SC.Kitta amesema kuwa hayo yamefikiwa baada ya jitihada za pamoja kati ya Wizara yenye dhamana ya Michezo na Klabu ya Simba.

“Waziri mwenye dhamana ya michezo aliitisha kikao kujadili kuhusu mchakato wa mabadiliko wa Simba na kukawa na mambo sita ambayo yanatakiwa kufanyiwa kazi”

“Kutokana na mkutano huo, bodi ya Simba ikaunda kamati hii. Tulipokea maoni mengi, mengine kwa barua pepe, mengine kwa barua, wengine kutupigia simu na kutumia ujumbe. Tulikaa vikao vinne kwa kati ya masaa 4-9”

BMT yaridhia Mabadiliko ya Katiba Simba, Katiba Mpya Simba, BMT Tanzania, BMT yaridhia rasimu ya Katiba ya Simba, Mabadiliko ya Katiba Simba SC.“Lengo ni kukamilisha mabadiliko na serikali ilitupa muda ili kukamilisha jambo hili. BMT walisema kabla ya kupeleka kwa wanachama mlete hiyo rasimu tupitie kwanza. Baada ya vikao tukaenda BMT na nina furaha kuwambia kwamba tumepokea barua kutoka kwao ya kuridhishwa na yale tuliyopitisha”

“Mambo sita yaliyopitishwa yana faida zaidi kwa mwanachama wa Simba kuliko kwa mtu mwingine yoyote,” amesema Kitta

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , ,

Comments are closed.