RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


HESLB Maelekezo Muhimu kwa Wanafunzi Wanaoomba Mikopo 2024/2025

Filed in Ajira, Habari by on 30/06/2024

HESLB Maelekezo Muhimu kwa
Wanafunzi Wanaoomba
Mikopo 2024/2025

HESLB Maelekezo Muhimu kwa Wanafunzi Wanaoomba Mikopo 2024/2025,dirisha la mkopo 2024/2025, HESLB login,Wanafunzi Waliopata Mkopo, Mwongozo wa kuomba mkopo diploma,HESLB news today,mwongozo wa utoaji mikopo 2024/2025.

HESLB Maelekezo Muhimu kwa
Wanafunzi Wanaoomba
Mikopo 2024/2025

HESLB Maelekezo Muhimu kwa Wanafunzi Wanaoomba Mikopo 2024/2025,dirisha la mkopo 2024/2025, HESLB login,Wanafunzi Waliopata Mkopo, Mwongozo wa kuomba mkopo diploma,HESLB news today,mwongozo wa utoaji mikopo 2024/2025.

Waombaji wote wa mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2024/2025
wanafahamishwa kuzingatia mambo yafuatayo:-

  • Kusoma na kufuata taratibu za maombi katika Mwongozo wa mwaka wa masomo 2024/2025.
  • Kuhakikisha kuwa namba ya mtihani wa Kidato cha Nne atakayoitumia mwombaji iwe sawa kwenye maombi ya mkopo na udahili wa chuo.
  • Waombaji ambao wamefanya mtihani wa Kidato cha Nne zaidi ya mara moja wahakikishe wanaorodhesha namba zote za mtihani katika maombi yao.
  • Kuhakikisha kuwa nyaraka zote za maombi ya mkopo anazowasilisha
    mwombaji ziwe zimehakikiwa na mamlaka husika.
  • Kuhakikisha kwamba vyeti vyote vya kuzaliwa/vifo vimethibitishwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) au Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii
    Zanzibar (ZCSRA) au Afisa aliyeteuliwa ili kuthibitisha uhalali wa nyaraka hizo.
  • Kuhakikisha wanafunzi waliozaliwa nje ya nchi au wanafunzi ambao wazazi
    wao wamefariki dunia wakiwa nje ya nchi wanaambatanisha barua za uthibitisho kutoka RITA au ZCSRA.
  • Waombaji wajaze fomu zao kwa ukamilifu na kuzisaini kabla ya kuziwasilisha HESLB kwa njia ya mtandao.
  • Kila mwombaji ahakikishe taarifa zake za benki zimejazwa kwa usahihi kwenye fomu ya maombi ya mkopo.
  • Taarifa hizo ndizo zitakazotumika kumlipa mwanafunzi mkopo wake kipindi atakachokuwa masomoni. hivyo hazitaruhusiwa kubadilishwa bila HESLB kujulishwa rasmi;
  • Namba ya simu ya mkononi ya mwombaji itakayotumika wakati wa kusajili maombi ya mkopo ndiyo itakayotumika kumtaarifu hatua mbalimbali za maombi
    yake.
  • Waombaji wote wanakumbushwa kuzingatia muda wa mwisho wa kutuma maombi kwa njia ya mtandao.

Soma zaidi HESLB Muongozo wa Maombi ya Mikopo 2024/2025

Tags: , , , , , ,

Comments are closed.