RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


INEC Majina 649 ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Shinyanga Mjini August 2024

Filed in Ajira by on 03/08/2024

INEC Majina 649 ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Shinyanga Mjini August 2024

INEC Majina 649 ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Shinyanga Mjini August 2024

INEC Majina 649 ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Shinyanga Mjini August 2024

INEC Majina 649 ya Walioitwa kwenye Usaili Jimbo la Shinyanga Mjini August 2024, Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Shinyanga Mjini anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba kazi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki kuwa usaili utafanyika tarehe 04 Agosti, 2024 katika Ukumbi wa Chuo cha Serikali za Mitaa Kampasi ya Shinyanga kuanzia saa 1:30 asubuhi.

Waombaji wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:

  • Usaili utafanyika tarehe 04 Agosti, 2024 katika Ukumbi wa Chuo cha Serikali za Mitaa Kampasi ya Shinyanga kuanzia saa 1:30 asubuhi.
  • Kila mwombaji anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. Vitambulisho vinavyokubalika ni Pamoja na; Kitambulisho cha NIDA, Kitambulisho cha Mpiga Kura, Kitambulisho cha Mkazi, Hati ya Kusaifiria, Leseni ya Udereva na Barua ya Utambulisho kutoka Serikali ya Kijiji/Mtaa.
  • Kila mwombaji atajigharamia chakula, usafiri na malazi.
    Kila mwombaji azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Kila mwombaji aje na kalamu ya bluu au nyeusi kwa ajili ya usaili wa maandishi.
  • Waombaji wa kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia masharti ya tangazo husika.

Orodha ya waombaji wanaoitwa kwenye usaili imeambatishwa kwenye PDF hapa chini;

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA KUITWA KWENYE USAILI JIMBO LA SHINYANGA MJINI AUGUST 2024

Tags:

Comments are closed.