RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA 6000 ya Walioitwa Kwa Mafunzo Stadi za Kazi/Uanagenzi 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 18/01/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MAJINA 6000 ya Walioitwa Kwa Mafunzo Stadi za Kazi/Uanagenzi 2024

MAJINA 6000 ya Walioitwa Kwa Mafunzo Stadi za Kazi/Uanagenzi 2024, Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Stadi za Kazi/Uanagenzi 2024, Tangazo kuitwa kwenye Mafunzo ya Ufundi Stadi za Kazi fani mbalimbali kwa njia ya Uanagenzi.

MAJINA 6000 ya Walioitwa Kwa Mafunzo Stadi za Kazi/Uanagenzi 2024

MAJINA 6000 ya Walioitwa Kwa Mafunzo Stadi za Kazi/Uanagenzi 2024, Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Stadi za Kazi/Uanagenzi 2024, Tangazo kuitwa kwenye Mafunzo ya Ufundi Stadi za Kazi fani mbalimbali kwa njia ya Uanagenzi.

Tarehe 01 Novemba, 2023 Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu (OWM – KVAU) ilitangaza fursa za mafunzo ambayo yatatolewa katika taasisi za mafunzo zilizotangazwa kutoka Mikoa 26 ya Tanzania Bara.

Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu inapenda kuutaarifu umma kuwa vijana 6,000 wamechaguliwa kujiunga na Mafunzo katika vyuo 43 nchini.

Majina ya vijana waliochaguliwa yamebandikwa kwenye mbao za matangazo za vyuo husika na katika tovuti ya www.kazi.go.tz.

Vijanaa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kwenye vyuo hivyo kwaajili ya kuthibitisha na kujisajili kuanzia tarehe 15 Januari, 2024 ambapo mafunzo yataanza rasmi tarehe 22 Januari, 2024.

MAJINA 6000 ya Walioitwa Kwa Mafunzo Stadi za Kazi/Uanagenzi 2024, Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Stadi za Kazi/Uanagenzi 2024, Tangazo kuitwa kwenye Mafunzo ya Ufundi Stadi za Kazi fani mbalimbali kwa njia ya Uanagenzi.

MAJINA 6000 ya Walioitwa Kwa Mafunzo Stadi za Kazi/Uanagenzi 2024

Mikoa na vyuo ambapo mafunzo yatafanyika ni kama ifuatavyo:-

MKOA JINA LA CHUO
ARUSHA
  1. DON BOSCO KII –TECH
  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MTO WA MBU
DAR ES SALAAM
  1. DSM RVTSC
  1. DON BOSCO OSTERBAY VTC
DODOMA
  1. INSTITUTE OF HEAVY EQUIPMENT AND TECHNOLOGY
  1. DON BOSCO DODOMA TECHNICAL INSTITUTE
GEITA
  1. GEITA VOCATIONAL TRAINING CENTRE
IRINGA
  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI ILULA
  1. MAFINGA LUTHERAN VOCATIONAL TRAINING CENTRE
  1. RDO KILOLO VOCATIONAL TRAINING CENTRE
KAGERA
  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI RUBONDO
  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI GERA
KATAVI
  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MSAGINYA
KIGOMA
  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI KASULU
  1. CHUO CHA UFUNDI STADI JKT KASANDA
  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI KIHINGA
  1. KASULU DVTC
KILIMANJARO
  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MAMTUKUNA
  1. MARANGU SCHOOL OF TOURISM AND VOCATIONAL TRAINING
LINDI
  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI KILWA MASOKO
  1. RUANGWA DVTC
MANYARA
  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI TANGO
MARA
  1. ST.ANTHONY VOCATIONAL TRAINING CENTRE
MBEYA
  1. CHUO CHA UFUNDI MAGEREZA RUANDA
MOROGORO
  1. LAKEWOOD TRAINING INSTITUTE
MTWARA
  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MASASI
MWANZA
  1. MWANZA RVTSC
  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI SENGEREMA
NJOMBE
  1. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI NJOMBE
PWANI
  1. PWANI RVTSC
RUVUMA
  1. CHUO CHA UFUNDI STADI MPAPA
  1. PERAMIHO VOCATIONAL TRAINING CENTRE
RUKWA 33.LAELA AGRICULTURE VTC
34.CHUO CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST RUKWA)
SHINYANGA 35.HILL FOREST COLLEGE – KAHAMA
SIMIYU 36.CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI BARIADI
SINGIDA 37.CHUO CHA UFUNDI NA MAREKEBISHO KWA WATU WENYE ULEMAVU SABASABA
38.CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI SINGIDA
SONGWE 39. ILEJE DVTC
TABORA 40.CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MWANHALA
41.URAMBO DVTC
TANGA 42.ST.PATRICK’S VOCATIONAL TRAINING CENTER
43. CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI HANDENI

BONYEZA HAPA KUSOMA ORODHA YA MAJINA YA VIJANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI ZA KAZI KWA NJIA YA UANAGENZI JANUARY 2024.

www.kazi.go.tz download,www.kazi.go.tz application form, www.kazi.go.tz 2024, Fursa za kazi kwa vijana,fursa za masomo ya ufundi stadi kwa vijana 2024, majina ya waliochaguliwa kujiunga na veta 2023/2024, Mafunzo ya veta, Mafunzo ya ufundi stadi Kazi website, Kazi za ufundi, Kozi za ufundi
Vijana ajira,Tangazo la Kuitwa Kuanza Mafunzo ya Ufundi na Stadi za Kazi katika fani Mbalimbali kwa Njia ya Uanagenzi.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , , , , , , , , , ,

Comments are closed.