RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI January 17-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 17/01/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI January 17-2024

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI January 17-2024, Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo January 17-2024, Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 17-01-2024, Majina ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 17-01-2024, Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo 17-01-2024.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 04-04-2022 na tarehe 12-12-2023
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika
tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI January 17-2024, Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo January 17-2024, Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 17-01-2024, Majina ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 17-01-2024, Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo 17-01-2024.

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI January 17-2024

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku
saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 17-01-2024 DOWNLOAD PDF KUONA MAJINA YOTE YA WALIOTWA KAZINI

Majina ya walioitwa kazini TAMISEMIz, Ajira portal, Tangazo LA kuitwa kazini, Majina ya walioitwa kazini Utumishi 2024, Walioitwa kazini TAMISEMI 2024, Walioitwa kazini 2024, Ajira portal login, Tangazo la kuitwa kazini afya 2024, Tangazo La Kuitwa Kazini January 2024,, Sekretarieti ya ajira, Tangazo La Kuitwa Kazini January 2024, Walioitwa kazini TRA 2024, Majina ya walioitwa kazini 2024 Utumishi Ajira, Nafasi za Kazi, Tangazo la Kuitwa Kazini, Names Called For Work by PSRS / UTUMISHI January 17- 2024,Call for Work at UTUMISHI January 2024 Ajira Portal PSRS,Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI January 2024,Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI January 2024, Nijuze Habari Ajira.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , ,

Comments are closed.