MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI Leo May 08-2024
MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI Leo May 08-2024
MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI Leo May 08-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo May 08-2024, Kuitwa Kwenye Usaili UTUMISHI May 2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA MAJINA YA NYONGEZA 08-05-2024.
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI), MDAs & LGAs, Shirika la Reli Tanzania (TRC) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 11-05-2024 hadi 28-05-2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
- Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
- Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
- Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria au barua ya utambulisho kutoka
Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka. - Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za
Mwombaji. - Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI. - Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
- Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
- Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA) - Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika. - Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
- Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili
- Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.
RATIBA YA USAILI TAASISI MBALI MBALI ZA UMMA TAZAMA HAPA CHINI!
KUONA MAJINA YA WALIOTWA KWENYE USAILI TAASISI MBALI MBALI ZA UMMA LEO MAY 08-2024 DOWNLOAD PDF YA KWANZA HAPA
DOWNLOAD PDF YA PILI HAPA
How To Open Ajiraportal Account at UTUMISHI
How To Open Ajiraportal Account at UTUMISHI, How To Open Ajiraportal Account Ajira Portal, How to Apply for Job in Public Recruitment Ajira Portal,Utumishi Portal registration, TRA ajira portal, Recruitment portal loginz PCCB ajira portal Login, ajira.go.tz 2023
Ajira Portal app download, Ajira portal
Ajira portal login, How to activate account in Ajira Portal, Ajira portal news
Call for Interview Ajira Portal, Ajira portal Vacancies.
How to Apply for Job in Public Recruitment if you want to be eligible to apply for vacancies advertised by The Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) you have to register yourself in the recruitment portal, but for those who don’t know how to do it, the recruitment portal has given the applicants the user manual to follow the steps and successfully do it.
You can follow the steps explained in this file USER MANUAL then go to this link REGISTER and fill the required information, most important, “make sure they are true!!” Then apply for a job and happily share this information to your friends who don’t know how to get to be called for interview by The Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Best of luck.Ajiraportal Account
HOW TO APPLY JOBS BY USING AJIRAPORTAL?? FOLLOW THE FOLLOWING STEPS TO OPEN AJIRAPORTAL PROFILE How To Open Ajiraportal Account
MAIN CHANGES FOR APPLICANTS WHO HAD RECRUITMENT PORTAL ACCOUNT AS OF 06 JANUARY 2020
This document shows the main changes that have been implemented in the Recruitment Portal as of 06 January 2020
ALSO READ:
- 1. Personal Details
The applicant is required to enter the correct National Identification Number (commonly known as NIDA number) and once it has been verified, the information will be fetched and filled in the form.
How to Register in Ajira Portal?
Here, a guide for step by step registration for Ajira Portal is given below that can help the candidates know the whole process in detail and can register properly for the Ajira Portal. Check out the detailed registration guide below.
- ADA ya Maombi ya Pasipoti za Kielektroniki na Hati ya Kusafiri
- Visit Ajira Porta website http://portal.ajira.go.tz/
- Click on ” Register ”
- Click on ” Enter your email and Password ”
- Click on ” Register ”
- Fill Up all details, Enter Name / Basic Details like, Name , Gender, Date of Birth, Fathers Name, Email Id, Mobile Number, Password ,
- Next Step, You’ll get Email which you need to Verify.
- Adding Details
- APPLY FOR JOBS
- After page open you will be required to enter the following details. Enter your E-mail address. …
- After filling above required information click register.
- You will receive email alert after Clicking register button to confirm your registration. Email will be as follow.
How To Open Ajiraportal Account at UTUMISHI, How Register Ajira Portal Recruitment System,Ajira portal news,PCCB ajira portal login,Ajira Portal registration,Ajira portal login
After successful completion of Registration, Login to your Ajira Porta Account to Add more details to let Public Service Recruitment Secretariat – (PSRS) know about you before hiring.
– Education Details
– Personal Info
– Physical Attributes
– Communication
– Experience
– Other Skills
– My References
– Preferences
Make sure you Add Genuine info on all these sections , so that a Public Service Recruitment Secretariat – (PSRS) or HR knows about you before you being called for interview process or the recruitment stage.
Through the application status you will be able to see the following:-
1. Whether you application has been received or not. If the job vacancy you have applied for is not visible in this list, it means you did not complete the application process hence you need to repeat it.
2. Whether you have been shortlisted or not shortlisted. If not shortlisted, the reason will be specified.
3. Call for interview (these can be written, practical and oral interviews).
4. If you have been successful, the status will show your placement as well.
Public Service Recruitment Portal,Ajira Portal app download,Activate Ajira Portal account,Ajira portal updates,Zan Ajira portal Login,Ajira Portal Call for Interview,Account is inactive Ajira Portal,PSRS Login,AJIRA LEO,Kujisajili na Ajira Portal Login,Ajira Portal Registration, Login, Change Password & FAQs 2023,Registration ajira portal.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- TETESI Za Usajili Simba SC Dirisha Dogo 2023/2024
- WALIOCHAGULIWA Kujiunga Kidato cha Kwanza 2024 Form one Selection 2024
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- NAULI Mpya za Mabasi na Daladala Kuanzia December 8 2023
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- MSIMAMO Kundi E Kufuzu Kombe la Dunia 2026
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Raundi ya Pili Azam Sports Federation Cup 2023/2024
- NECTA: Matokeo ya Darasa La Saba 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
Tags: Kuitwa Kwenye Usaili UTUMISHI May 2024., MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI Leo May 08-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo May 08-2024, TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA MAJINA YA NYONGEZA 08-05-2024.