RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJUKUMU ya Afisa Tarafa

Filed in Makala by on 30/07/2024

MAJUKUMU ya Afisa Tarafa

MAJUKUMU ya Afisa Tarafa

MAJUKUMU ya Afisa Tarafa

MAJUKUMU ya Afisa Tarafa, Majukumu ya Afisa Tarafa Tanzania.

  • NAFASI za Kazi Hospitali ya Saifee Zanzibar July 2024
  • Majukumu ya Afisa Tarafa Kwenye Mamlaka ya Serikali Kuu.
  • Kumwakilisha na kumsaidia Mkuu wa Wilaya katika utekelezaji wa shughuli za Serikali Kuu katika Tarafa.
  • Kuandaa na kuratibu taarifa na ripoti zinazohusu masuala ya ulinzi na usalama ya kata kwenye tarafa yake na kuiwasilisha kwa Mkuu wa Wilaya.
  • Kuhamasisha na kuhimiza wananchi iliwashiriki kwenye shughuli za maendeleo kwenye Tarafa.
  • Kuwa kiungo kati ya Serikali kuu na Wananchi Katika Tarafa.
  • Kuwa mlinzi wa amani katika eneo lake.
  • Kufuatilia na kuhimiza utekelezaji wa sera za Serikali katika eneo lake na kuhakikisha kuwa zinatekelezwa ipasavyo.
  • Kuratibu shughuli zote za maafa na dharura mbalimbali katika eneo lake.
  • Kuandaa taarifa zote zinazohusu masuala ya Serikali Kuu kuhusu utendaji wa kazi za maafisa Watendaji wa kata wa eneo lake na kuziwasilisha kwa Mkuu wa Wilaya.
  • Kuwa kiungo kati ya Serikali kuu na Serikali za Mitaa. katika eneo lake.
  • Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Katibu Tawala wa Wilaya.
  • Majukumu ya Afisa Tarafa Kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa;
  • Kuwasaidia Wakurugenzi wa Serikali za Mitaa katika shughuli za Maendeleo katika eneo lake.
  • Kusimamia utendaji wa shughuli za Maafisa Watendaji wa Vijiji, Kata na Mitaa.
  • Kushiriki na kutoa ushauri katika upangaji wa mipango ya Maendeleo katika eneo lake.
  • Kuhudhuria vikao vya kamati za Halmashauri na Baraza la madiwani na kutoa ushauri.
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake kama zitakavyopokelewa kutoka kwa Watendaji wa Kata.
  • Kusimamia utekelezaji wa Sheria ndogondogo za Halmashauri ya Wilaya, Miji, Manispaa au Jiji.

Tags:

Comments are closed.